Hataki child support?basi atamkamua kwenye kugawana mali,ila Brad lazima atowe child support.Namchukia sana Anjelina,si kwa kumsababishia depression Brad jamani.Ila malipo ni hapa hapa duniani,mama Brad alimshauri mwanae hakusikia ,leo anaachwa kiaibuNimesoma Yahoo amesema hataki cha Child support wala sent tano ya Brad...huyu ni mwanamke wa shoka...ukute yeye ndio ana mpunga mrefu...
Kwani Jolie ni Goalkeeper ? Ndio raha ya mwanamke kuolewa huku una persue dreams zako sio za mwanaume
Namuonea huruma Brad,Jennifer Anston nae bado anatafuta uzazi,angeenda zaa wengine.Angelina mshari sana anaonekana,nasikia yule actress anaeshukiwa kutembea na Brad kumbe ni mke wa mtu ,tena ana mimba ya mmewe,Brad is the looser hereMkuu, inaonekana huwafahamu vizuri hawa.
Brangelina ni A-list celebrities na walikuwa na pesa ya kutosha kabla hata hawajaoana.
Vita itakuwa ni watoto ambao Brad amezaa na Angelina lakini sio pesa.
Na ukumbuke walifanya Prenuptial agreement ambayo haihusu mali kabla ya ndoa.
Ila mwanasheria wa Angie Laura Wasser ni very aggressive na ndie alieshughulika kwenye talaka yake na Billy Bob Thornton.
she is gorgeous tho
I like this girl from when she was Tomb Rider.
One of my favourite actresses.
Yeah wenzetu wanathamini sana watoto,mbongo ndo kwanza anafurahia umempunguzia mzigo
Si unajua baba ndo kichwa cha familia?Si wote wana pesa watawatunza tu au mwanaume ndio anatakiwa atoe pesa nyingi zaidi,
Jolie hawezi olewa tena maana alikatwa maziwa kutokana na breast cancer
Brad Pitt alichomfanyia Jennifer Aniston mungu alimuona....dada wa watu alikuwa ka chizi, eti kamuacha ghafla anasema hazai kisa kamuona Jolie!...malipo ni hapa hapa chini ya jua!Hataki child support?basi atamkamua kwenye kugawana mali,ila Brad lazima atowe child support.Namchukia sana Anjelina,si kwa kumsababishia depression Brad jamani.Ila malipo ni hapa hapa duniani,mama Brad alimshauri mwanae hakusikia ,leo anaachwa kiaibu
Duuuuu kiboko kabisaaaNimesoma Yahoo amesema hataki cha Child support wala sent tano ya Brad...huyu ni mwanamke wa shoka...ukute yeye ndio ana mpunga mrefu...
Nampenda Tom jamaniiWanaume wawili waliocha wake zao ghafla nikawaona manunda ni Tom Cruise alimsababishia maumivu makali Nicole Kidman hadi mimba ikatoka kwa mshtuko!..alikokimbilia sasa kwa Katie Holmes hakupendwa wala nini, katoka kumwagwa juzi kati, sasa hivi yuko ka chizi hajielewi!...mwingine ni huyu sasa Brad yamemkuta yaliyomkuta!...so majibu ni lazima
Asee mi hapana..kile kitendo alichofanya kwa Nicole nilimuona ka mnyama!Nampenda Tom jamanii
Halaf nicole alivyo mzuri jamani vile loo,wanaume kibokoAsee mi hapana..kile kitendo alichofanya kwa Nicole nilimuona ka mnyama!
Aiseee wewe jamaa pamoja na kujitahidi kutuletea habari nzuri lakini hii comment umevuruga kila kitu.Jolie hawezi olewa tena maana alikatwa maziwa kutokana na breast cancer
Daaaadeki [emoji123][emoji123][emoji122][emoji122][emoji122]Nimesoma Yahoo amesema hataki cha Child support wala sent tano ya Brad...huyu ni mwanamke wa shoka...ukute yeye ndio ana mpunga mrefu...
Uko vizuri kwa habari za celebrities wa nje [emoji119][emoji119][emoji122]Sidhani kama hiyo ni sababu.
Brad Pitt ni mlevi wa pombe na Angelina ni mtumiaji mzuri tu wa madawa ya kulevya.
Lakini Brad anaelezwa kwamba ni mkali sana ndani ya nyumba, hivyo mama hawezi kuendelea na hali hiyo wakati yeye ana watoto wengi na khasa Maddox ambae mama hapendi kumwona anasononeka baada ya kuambiwa na baba (Brad) hata jambo dogo la kumrekebisha.
It more about maintaining discipline kwenye nyumba ingawa baba anachapa kilevi na mama madawa, hivyo inakuwa ngumu.
Kama unafahamu Madonna na Guy Richie nao wametengana kwa sababu hizohizo za kutaka kuleta nidhamu kwenye nyumba na mama yake Rocco Madonna hapendi aadabishwe.
Nao wana watoto mchanganyiko hivyohivyo na Madonna ana watoto wengine wa kuwalea.
Matokeo yake Rocco ni mlevi wa madawa na natembea na vijana wengine wasosikia mitaani.
Hivyo ni suala la uamuzi muishi kama bibi na bwana mkiwa na hao watoto au marafiki wa karibu lakini sio ndoa kwa watu kama hawa wenye complex life styles.
Ndio maana mtu kama Hugh Grant hajaoa mpaka leo au George Clooney na mkewe Amal wameoana lakini kila mtu yupo busy na watoto si priority, na kuna uvumi kuhusu mustakabali wa Clooney kuhusiana na kuendeleza mahusiano na wanawake wengine akiwa ameoa (mzee wa emergency room).