Angelina Jolie: Uvutaji wa bangi na mchepuko wasababisha ndoa na Brad Pitt kuvunjika

Angelina Jolie: Uvutaji wa bangi na mchepuko wasababisha ndoa na Brad Pitt kuvunjika

Hataki child support?basi atamkamua kwenye kugawana mali,ila Brad lazima atowe child support.Namchukia sana Anjelina,si kwa kumsababishia depression Brad jamani.Ila malipo ni hapa hapa duniani,mama Brad alimshauri mwanae hakusikia ,leo anaachwa kiaibu
Hiyo depression ya Brad ilikuwepo tangu wakati wa ndoa au una-speculate tu kwamba atapata depression kwa vile ameachwa? Brad nae ana uzuri gani? Mbona alimbwaga Jennifer?
Mbona Angelina mtu mzuri tu jamani? Hana cha utata wala nini, sio kwa watoto wote hao tena wa kuasili anaowalea. Sema Angie wa watu wanamfanyaga 'villain' siku nyingi kwasababu ya misimamo yake, na pia kwasababu Jennifer ni sweetheart wa wamarekani. Lakini hata hivyo huo u-sweatheart wa Jennifer unatokana na ile character aliyocheza ya "Rachel" na wamarekani hawajijui tu kwamba they were in love with Rachel na wala sio Jeniffer...
Haya Jennifer hapati mtoto...well, life can be unfair sometimes, wanawake wengine kibao wana-go through hiyo, lakini hata hivyo yeye Mungu hajamtupa kihiiivyo, manake Jennifer ana mapesa kibao kwa hiyo angeweza na yeye akaasili mtoto hata mmoja kama anavyofanya mwenzie Angie... anyway, the last time i heard, ni kwamba ameamua sasa ata-adopt mtoto baada ya kumuona kaka yake amezaa mtoto, where by Angie, alimu-adopt Maddox kabla hata hajafikiria kuzaa yeye mwenyewe. Trust me Victoire, pamoja na madawa yake na utata wake, Angie is the better person here. Na pia wakati mwingine watu wanaoji-potray umalaika na kupendwa na watu wengi kama Jennifer, wanakuwaga na tabia zenye chembechembe za u-narcissism... well, sorry Jennifer am not saying that you are a narcissist.
 
Kama nakumbuka vizuri Angelina mwaka Jana aligundulika ana saratani ya matiti, na matiti yake yote mawili yalikatwa. Labda Brad anaona mkewe hana mvuto tena. Hata hivyo Brad lazima alikuwa na stress, sio kwa kulea kundi lote hilo la watoto.
 
Stress kwa sababu ya kukosa nipples?

Sidhani.

Ina maana hata ingekuwa wewe ungepata stress kwa ajili hiyo?

C'mon mkuu.

Ni hizo chaos tu kuhusu kuwalea watoto that's it.
 
Nimesoma Yahoo amesema hataki cha Child support wala sent tano ya Brad...huyu ni mwanamke wa shoka...ukute yeye ndio ana mpunga mrefu...
Kuwa na mpunga mrefu bado hakuumpunguzii mwanaume hadhi yake ila marekani ni nchi ya kigoroko
 
Jennifer Anston atakuwa anachekelea tu huko aliko,kazi ipo kwenye kugawana mpunga,Brad kazi anayo,Child support kwa watoto sita ataipata fresh.
Child support ya watoto sita kwa sheria za wenzetu zilivyo kali zitamfilis Brad
 
Kama nakumbuka vizuri Angelina mwaka Jana aligundulika ana saratani ya matiti, na matiti yake yote mawili yalikatwa. Labda Brad anaona mkewe hana mvuto tena. Hata hivyo Brad lazima alikuwa na stress, sio kwa kulea kundi lote hilo la watoto.

Haahaahaa
 
Bongo yetu kina baba wavutabangi mpo kibaoooo! na mnajiita ma best father!
 
Warudiane tu ila jamaa aachane na kula msuba
 
Warudiane tu ila jamaa aachane na kula msuba
Inapendeza eeh
1474487444331.jpg
 
Aaache sababu nyingi ...naona kamfungulia mashitaka kibao mwenzio sijui anataka kumfilisi
 
Back
Top Bottom