UNSPECIFIED
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 1,166
- 3,870
Na ana mgongo sio poa unafaa Kwa kubananga
Sio bi chura.. Ni papaiMwandani wa bi Chura
Exactly my thoughtsL
Labda nae ni Tiss. Tiss kwani Wana uniform?
Dr Condoleeza Rice alikuwa waziri wa mambo ya nje, Huyo fisadi Kizigha ana wadhifa gani?Lazima atakuwa mtu wa Protocal yaani kama Condoleeza Rice enzi za George Walker Bush. A lot of Strategic studies.
Kubali tu hii nchi haina polisi, taasisi ya kuzuia rushwa, usalama wa Taifa, nk. Kwa sasa tumebakiwa walau na jeshi tu, ambalo na lenyewe limegawanyika.Hivi hii nchi ina jeshi kweli? Mbona huyu mtu angekuwa mahabusu zamani sana na hawa wahuni wake!!!Jeshi linaaminiwa na wananchi kuliko raisi na serikali yake halafu lenyewe linamwamini raisi aliyepoteza uhalali aisee wananchi tutafute uhuru wa hii nchi
Friends With Benefits(FWB)Huyu ni Nani anafanya logistics zote kuliko hata TISS?
Je usalama wa taifa mmebariki ili?View attachment 3489107
Ni majibu ya ile harambee, kila aliyetoa fungu anajisogeza mstari wa mbele.Swali jingine limerushwa na mange kuhusu kijana anayetembea na Nchimbi katika kampeni zake.
CCM wamepigwa, chama kinaendeshwa na watu binafsi.
Kwanini yeye?nenda kamshitaki mahakamani ukiwa na vielelezo vyote ili kuthibitisha wizi wake maa hata mimi naweza kukutuhumu wewe shoga unabakwa na mapunda
ongeza wanaitwagwa Deep state tunalishwa sana matango pori heti Deep state 😂😂😂 huu ujinga niliukataa inawezakana watu hawajui hata maana Deep state neno Deep lilikua linatosha kujua hata kesho ya TanganyikaHii ya safri hii kiboko mawinga hadi ikulu..
Tiss mpo kimya , jwtz mpo kimya, wazee wa chama mpo kimya
Mzalendo mmoja kijana jasiri alijitoa muhanga akasema kwa nia njema kabisa kwa ajili ya chama chake bwana polepole akapotezwa.
TISS gani huyo kanenepeana hovyo hadi kutembea hawezi anapepesuka hovyo..L
Labda nae ni Tiss. Tiss kwani Wana uniform?
Dr. Shein alipatikanaje kujaza nafasi ya VP baada ya Dr. Omar kufariki?Hivi wakuu, ikitokea makamo wa raisi akijihudhuru katikati ya awamu fulani, katiba inasemaje? Raisi anateua tu makamu mwengine au uchaguzi unafanyika kumpata makamu mwengne? Kwa anayejua katiba naomba jibu.
Imagine unaanzisha chauma halafu unamfunga Lissu 😛😛 Samia kachiziYaani nawaambia kwa hii awamu ya Samia kajua kuwavua nguo CCM, yaani hata kama kuna mtu alibaki na imani ndogo juu ya CCM haipo tena, Kesi za ufisadi, utekaji na uuaji wa watanzania, Raisi amekaa kimya, na JWTZ limekaa linatazama nchi inaaribiwa kutoka ndani, asa wanalinda nn? Maana kinacholindwa kinashumbuliwa ndani, na akipita tu uyu mama hicho kipindi cha pili, wataiba hii nchi, watafanya mauaji mengi ya kujilinda wakitoka madarakani hiyo 2030, inshort TZ inaenda kupotezea mazima kama wananchi na JWTZ haijachukua hatua.
Kwenye nchi siariazi, huyu angekuwa jela kitambo tu