GE2025 Angella Kizigha ni nani kwenye kampeni za Samia?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kubali tu hii nchi haina polisi, taasisi ya kuzuia rushwa, usalama wa Taifa, nk. Kwa sasa tumebakiwa walau na jeshi tu, ambalo na lenyewe limegawanyika.
 
Swali jingine limerushwa na mange kuhusu kijana anayetembea na Nchimbi katika kampeni zake.
CCM wamepigwa, chama kinaendeshwa na watu binafsi.
Ni majibu ya ile harambee, kila aliyetoa fungu anajisogeza mstari wa mbele.
 
Hii ya safri hii kiboko mawinga hadi ikulu..
Tiss mpo kimya , jwtz mpo kimya, wazee wa chama mpo kimya

Mzalendo mmoja kijana jasiri alijitoa muhanga akasema kwa nia njema kabisa kwa ajili ya chama chake bwana polepole akapotezwa.
ongeza wanaitwagwa Deep state tunalishwa sana matango pori heti Deep state πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huu ujinga niliukataa inawezakana watu hawajui hata maana Deep state neno Deep lilikua linatosha kujua hata kesho ya Tanganyika
 
Hivi wakuu, ikitokea makamo wa raisi akijihudhuru katikati ya awamu fulani, katiba inasemaje? Raisi anateua tu makamu mwengine au uchaguzi unafanyika kumpata makamu mwengne? Kwa anayejua katiba naomba jibu.
 
Hivi wakuu, ikitokea makamo wa raisi akijihudhuru katikati ya awamu fulani, katiba inasemaje? Raisi anateua tu makamu mwengine au uchaguzi unafanyika kumpata makamu mwengne? Kwa anayejua katiba naomba jibu.
Dr. Shein alipatikanaje kujaza nafasi ya VP baada ya Dr. Omar kufariki?
 
Imagine unaanzisha chauma halafu unamfunga Lissu πŸ˜›πŸ˜› Samia kachizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…