Angezungumza kama alivyozungumza Emmanuel Nchimbi angepungukiwa nini?

Hajatukanwa mtu wameambiwa ukweli. Hayati JPM alizoea kuwaambia ukweli hao hao wazungu, wao sio malaika ni binadamu kama wengine wowote.

Acheni huu ushamba wa kubabaikia ngozi zao. Zipo taratibu za kuongea kitu kinapotokea.
Yaani uwapangie watu namna ya kuongea kwenye utekaji wa watu?Muuaji haitakiwi kukupangia namna ya kuzungumza.
 
Baada ya Chadema kutangaza maandamano kupinga kutekwa na kuuwawa kwa Wanachama wao na Watanzania kulitokea ka tension kadogo.

Tension hii ilipata msisimko baada ya Viongozi wa dini kuanza kukemea.

Kwa kuwa tuhuma hizi zilikihusu Chama cha Mapinduzi na vyombo vya Serikali yake hasa Polisi na TISS ilihitajika kauli thabiti na yenye hekima kutoka Chama cha Mapinduzi.

Tuseme ukweli Press aliyoifanya Comred Emmanuel Nchimi ilituliza sana mioyo ya watanzania ingawa haikuwapa majibu juu ya mustakabali ya haki yao kuu ya kuishi!

Nchimbi kama Mwanasiasa aliyelelewa na wazee wenye exposure hekima na busara aliongea vizuri sana na kwa sehemu kubwa kuweza kutuliza tension ya Wananchi.

Kituko kilikuja kutokea jana. Kusema kweli Mwenyekiti jana ametia petrol na kiberiti kwenye moto alioweza kuuzima kidogo Comrade Nchimbi.

Mbaya zaidi kanunua ugomvi na wakubwa ambao ndiyo wanamlisha na kuendesha miradi yake mingi kwa misaada na mikopo yao.

Nimefuatilia maoni ya wananchi kwa jana na leo, mitaani na kwenye mitandao. Kusema ukweli Mwenyekiti wetu jana aliharibu sana.

Wananchi wanatoa maoni bila kificho tena kwa account zenye majina yao kulaaani maneno yake ya jana.

Swali nililojiuliza ni kuwa, baada ya Comrade Nchimbi kuzungumza vizuri siku ile na kutuliza upepo. Kulikuwa na haja ya yeye jana kuzungumza maneno yale aliyozungumza?

Ushauri wangu kwake,

" Gombana na Nchi za Magharibi ukiwa na internal support na kamwe usianzishe ugomvi na Magharibi ukiwa hohehahe kwenye internal support "
Na zaidi angeweza kusema tu kama Fr Dr Kitima ambaye alitumia akili ya hali ya juu
 
Hakuna aliyeanzisha ugomvi na magharibi, wanaambiwa ukweli pale wanapochemka. Alichokifanya Samia jana kwa kauli yake ndio ilikuwa chai ya kila asubuhi wakati wa hayati JPM.

Kuna taratibu za kusema unachotaka kukisema sio kujiropokea tu, jana Rais kawakumbusha hao mabalozi.
Magufuli alipata internal support kubwa Kwa sababu hoja yake ilikuwa kulinda madini na Rasilimali za nchi!!

Mama anakosa uhalali wa umma Kwa sababu yeye anatetea Watekaji katikati ya taharuki ya watu kutekwa na kuuawa.

Nchimbi alifanya kazi kubwa mno lakini mama kaitia ndimu! Hao Wahuni wanaomlisha matango pori wanammaliza na kupitia najisi nchi!!

Magufuli aliogopwa na waongo na Wahuni. Hakuna aliyethubutu kumdanganya
 
Hakuna aliyeanzisha ugomvi na magharibi, wanaambiwa ukweli pale wanapochemka. Alichokifanya Samia jana kwa kauli yake ndio ilikuwa chai ya kila asubuhi wakati wa hayati JPM.

Kuna taratibu za kusema unachotaka kukisema sio kujiropokea tu, jana Rais kawakumbusha hao mabalozi.
Magufuli alipata internal support kubwa Kwa sababu hoja yake ilikuwa kulinda madini na Rasilimali za nchi!!

Mama anakosa uhalali wa umma Kwa sababu yeye anatetea Watekaji katikati ya taharuki ya watu kutekwa na kuuawa.

Nchimbi alifanya kazi kubwa mno lakini mama kaitia ndimu! Hao Wahuni wanaomlisha matango pori wanammaliza na kuitia najisi nchi!!

Magufuli aliogopwa na waongo na Wahuni. Hakuna aliyethubutu
 
Baada ya Chadema kutangaza maandamano kupinga kutekwa na kuuwawa kwa Wanachama wao na Watanzania kulitokea ka tension kadogo.

Tension hii ilipata msisimko baada ya Viongozi wa dini kuanza kukemea.

Kwa kuwa tuhuma hizi zilikihusu Chama cha Mapinduzi na vyombo vya Serikali yake hasa Polisi na TISS ilihitajika kauli thabiti na yenye hekima kutoka Chama cha Mapinduzi.

Tuseme ukweli Press aliyoifanya Comred Emmanuel Nchimi ilituliza sana mioyo ya watanzania ingawa haikuwapa majibu juu ya mustakabali ya haki yao kuu ya kuishi!

Nchimbi kama Mwanasiasa aliyelelewa na wazee wenye exposure hekima na busara aliongea vizuri sana na kwa sehemu kubwa kuweza kutuliza tension ya Wananchi.

Kituko kilikuja kutokea jana. Kusema kweli Mwenyekiti jana ametia petrol na kiberiti kwenye moto alioweza kuuzima kidogo Comrade Nchimbi.

Mbaya zaidi kanunua ugomvi na wakubwa ambao ndiyo wanamlisha na kuendesha miradi yake mingi kwa misaada na mikopo yao.

Nimefuatilia maoni ya wananchi kwa jana na leo, mitaani na kwenye mitandao. Kusema ukweli Mwenyekiti wetu jana aliharibu sana.

Wananchi wanatoa maoni bila kificho tena kwa account zenye majina yao kulaaani maneno yake ya jana.

Swali nililojiuliza ni kuwa, baada ya Comrade Nchimbi kuzungumza vizuri siku ile na kutuliza upepo. Kulikuwa na haja ya yeye jana kuzungumza maneno yale aliyozungumza?

Ushauri wangu kwake,

" Gombana na Nchi za Magharibi ukiwa na internal support na kamwe usianzishe ugomvi na Magharibi ukiwa hohehahe kwenye internal support "

Nafikiri Rais awe mwangalifu sana katika kuchagua maneno au lugha ya kuongea mbele za hadhara za Watu, asiwe anaamini kila kitu anachoambiwa na wale Watu wanaomzunguka. Sometimes anadanganywa au amekuwa akiambiwa Habari ambazo zimetiwa chumvi Sana. Awe anachuja maneno ya kuongea hadharani.
 
Huyu mama mawili kati ya haya yatamtokea:

1. Hatagombea mwakani. Wenzake ndani ya CCM wameshamkataa na Mungu vilevile hajamruhusu si kuwa Rais tena kwa awamu inayofuata bali huu ndio mwisho wake na CCM yake.....

2. Akilazimisha kidunia kugombea na kisha akatumia mabavu kujishindisha kama alivyofanya mtangulizi wake Magufuli mwaka 2020, na yeye atapita njia hiyohiyo, HAKIKA ATAKUFA. Familia yake iandae kaburi tu la kuzikia....

##Furahini maana ule mwisho umefika!!!
 
Baada ya Chadema kutangaza maandamano kupinga kutekwa na kuuwawa kwa Wanachama wao na Watanzania kulitokea ka tension kadogo.

Tension hii ilipata msisimko baada ya Viongozi wa dini kuanza kukemea.

Kwa kuwa tuhuma hizi zilikihusu Chama cha Mapinduzi na vyombo vya Serikali yake hasa Polisi na TISS ilihitajika kauli thabiti na yenye hekima kutoka Chama cha Mapinduzi.

Tuseme ukweli Press aliyoifanya Comred Emmanuel Nchimi ilituliza sana mioyo ya watanzania ingawa haikuwapa majibu juu ya mustakabali ya haki yao kuu ya kuishi!

Nchimbi kama Mwanasiasa aliyelelewa na wazee wenye exposure hekima na busara aliongea vizuri sana na kwa sehemu kubwa kuweza kutuliza tension ya Wananchi.

Kituko kilikuja kutokea jana. Kusema kweli Mwenyekiti jana ametia petrol na kiberiti kwenye moto alioweza kuuzima kidogo Comrade Nchimbi.

Mbaya zaidi kanunua ugomvi na wakubwa ambao ndiyo wanamlisha na kuendesha miradi yake mingi kwa misaada na mikopo yao.

Nimefuatilia maoni ya wananchi kwa jana na leo, mitaani na kwenye mitandao. Kusema ukweli Mwenyekiti wetu jana aliharibu sana.

Wananchi wanatoa maoni bila kificho tena kwa account zenye majina yao kulaaani maneno yake ya jana.

Swali nililojiuliza ni kuwa, baada ya Comrade Nchimbi kuzungumza vizuri siku ile na kutuliza upepo. Kulikuwa na haja ya yeye jana kuzungumza maneno yale aliyozungumza?

Ushauri wangu kwake,

" Gombana na Nchi za Magharibi ukiwa na internal support na kamwe usianzishe ugomvi na Magharibi ukiwa hohehahe kwenye internal support "
Mama mwanamipasho....nilimwona anapika..eti nchi hii inahitaji wapishiii... hahahahahahahaha
 
Rais Jana kaongea kama Rais na si kama Samia. Walioota mikia watakatwa na wakimbizi watarejea ukimbizini endapo hawatafata sheria
Her speech was full of complains but with no clear approach of disengaging murderers in her government. She ended saluting murderers, sending a clear message to all citozens that she stands with the murderers.
 
Huyu mama mawili kati ya haya yatamtokea:

1. Hatagombea mwakani. Wenzake ndani ya CCM wameshamkataa na Mungu vilevile hajamruhusu si kuwa Rais tena kwa awamu inayofuata bali huu ndio mwisho wake na CCM yake.....

2. Akilazimisha kidunia kugombea na kisha akatumia mabavu kujishindisha kama alivyofanya mtangulizi wake Magufuli mwaka 2020, na yeye atapita njia hiyohiyo, HAKIKA ATAKUFA. Familia yake iandae kaburi tu la kuzikia....

##Furahini maana ule mwisho umefika!!!
Watu wanachukulia utani. Hakika akilazimisha, na akaendelea kuua, hataishi. Anakowatanguliza binadamu wenzake, naye atawafuata haraka. Kama anaamini kuwa kila anayemkera, adhabu yake ni kifo, basi kwa vile na yeye wapo anaowakera, atapokea haki hiyo hiyo, japo siyo kwa mkono wa mwanadamu.

Nchi yetu ilikabidhiwa kwenye ulinzi Mungu usiku ule wa kuamkia tarehe 10 December 1961. Sala yetu, hakuna mtawala muuaji atakayeishi wala kudumu kwenye madaraka. Kiongozi muuaji, ama aachie uongizi, atubu, akapumzike, au apore madaraka, halafu asiishi.
 
Her speech was full of complains but with no clear approach of disengaging murderers in her government. She ended saluting murderers, sending a clear message to all citozens that she stands

Her speech was full of complains but with no clear approach of disengaging murderers in her government. She ended saluting murderers, sending a clear message to all citozens that she stands with the murderers.
Mama alikuwa juu sana kisiasa, kwa hiyo hawezi kufanya mauwaji na utekaji ili ajichafulie. Haya mauwaji na utekaji yamefanywa na chadema na mbowe. Na ndio maana yame waibua chadema mafichoni na kutaka kuandamana.
 
Kufa ni lazima bro. Wacha mama akate watu mikia. Na huu utekaji na mauwaji inawezekana inafanywa chadema ili wapate cha kuandamana na kufanya vurugu. Mbowe achunguzwe
Utekaji na mauaji vifanywe na Chadema alafu wasishughulikiwe hadi leo? Utakuwa ni mgeni hapa Tanzania wewe!!
 
Baada ya Chadema kutangaza maandamano kupinga kutekwa na kuuwawa kwa Wanachama wao na Watanzania kulitokea ka tension kadogo.

Tension hii ilipata msisimko baada ya Viongozi wa dini kuanza kukemea.

Kwa kuwa tuhuma hizi zilikihusu Chama cha Mapinduzi na vyombo vya Serikali yake hasa Polisi na TISS ilihitajika kauli thabiti na yenye hekima kutoka Chama cha Mapinduzi.

Tuseme ukweli Press aliyoifanya Comred Emmanuel Nchimi ilituliza sana mioyo ya watanzania ingawa haikuwapa majibu juu ya mustakabali ya haki yao kuu ya kuishi!

Nchimbi kama Mwanasiasa aliyelelewa na wazee wenye exposure hekima na busara aliongea vizuri sana na kwa sehemu kubwa kuweza kutuliza tension ya Wananchi.

Kituko kilikuja kutokea jana. Kusema kweli Mwenyekiti jana ametia petrol na kiberiti kwenye moto alioweza kuuzima kidogo Comrade Nchimbi.

Mbaya zaidi kanunua ugomvi na wakubwa ambao ndiyo wanamlisha na kuendesha miradi yake mingi kwa misaada na mikopo yao.

Nimefuatilia maoni ya wananchi kwa jana na leo, mitaani na kwenye mitandao. Kusema ukweli Mwenyekiti wetu jana aliharibu sana.

Wananchi wanatoa maoni bila kificho tena kwa account zenye majina yao kulaaani maneno yake ya jana.

Swali nililojiuliza ni kuwa, baada ya Comrade Nchimbi kuzungumza vizuri siku ile na kutuliza upepo. Kulikuwa na haja ya yeye jana kuzungumza maneno yale aliyozungumza?

Ushauri wangu kwake,

" Gombana na Nchi za Magharibi ukiwa na internal support na kamwe usianzishe ugomvi na Magharibi ukiwa hohehahe kwenye internal support "
Mngeendelea kumpanda kichwani na kumuita dhaifu,,,,,na yeye ameshajua ili kuheshimiana lazima aende kama JPM
 
Utekaji na mauaji vifanywe na Chadema alafu wasishughulikiwe hadi leo? Utakuwa ni mgeni hapa Tanzania wewe!!
Mbowe na chadema ndiyo wahalifu wakubwa. Hshshshshbbz
Utekaji na mauaji vifanywe na Chadema alafu wasishughulikiwe hadi leo? Utakuwa ni mgeni hapa Tanzania wewe!!
Wewe ndiyo mgeni Tanzania. Kwa mujibu wa Dr slaa kuna mkuu wa red brigadi alisha ongoza utekaji wa mwenyekiti wa cdm temeke na kumtupa ununio
 
Magufuli alipata internal support kubwa Kwa sababu hoja yake ilikuwa kulinda madini na Rasilimali za nchi!!

Mama anakosa uhalali wa umma Kwa sababu yeye anatetea Watekaji katikati ya taharuki ya watu kutekwa na kuuawa.

Nchimbi alifanya kazi kubwa mno lakini mama kaitia ndimu! Hao Wahuni wanaomlisha matango pori wanammaliza na kuitia najisi nchi!!

Magufuli aliogopwa na waongo na Wahuni. Hakuna aliyethubutu
Ushahidi unapokosekana inakuwa ni muendelezo wa kuamini hisia zetu za kibinadamu.

Samia ni bosi wake Nchimbi hivyo anayo haki ya kuongea kadri anavyojisikia kwa muda huo.
 
Usimpangie cha kuzungumza,wengine wanangumza makanisani badala ya kuendesha ibada,imegeuka sehemu za kulaani serikali,hovyo kabisa
viongozi wanasali makanisani ni vyema wachungaji watumie madhabau kukemea hao waumini kuikataa dhambi..ni unafiki kuswali mara kumi kwa siku bila kumwambia muumini wako acha kuuwa watu acha kuonea watu lazima viongozi wa dini wawe mstari wa mbele kuikemea dhambi
 
Back
Top Bottom