It's not easy for Egypt to do such a mistake. Mafarao wanaweza kukomaa mpaka wahakikishe hawapotezi mechi hata moja kuweka rekodi.Mkuu,
Hata Nigeria waki-lose hii game mathematically there will still b some hope 4 them to advance into knock out stage kama wakishinda gemu yao ya mwisho, huku wakiwaombea Egypt wapoteze gemu zake 2, gemu ya leo na ya mwisho.
Nigeria leads by 1 - O via a penalty goal scored by Yakubu on 41st min.
........huku wakiwaombea Egypt wapoteze gemu zake 2, gemu ya leo na ya mwisho.
Egypt wanahonga mechi zao sana tu si ndio kwenye makao makuu ya CAF.
Mmmh! Kweli?!
Mbona wanasakata kabumbu kwa levo ye2 ya kiafrika lakini, siyo world cup i must admit!
Sasa atahesabika katika top scorer mana lapili hilo anafunga?
Egypt wanahonga mechi zao sana tu si ndio kwenye makao makuu ya CAF.