Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Duh! Huyu kipa kaharibu nguvu za wachezaji wenzake wote walofanya toka first half.....Goli la kufungwa lile...?

Cameroon 1 Zambia 1
 
Etoó kawamaliza sasa.........

Cameroon 2 Zambia 1
 
Wot goes around comes around.
No sympathy here to th Zam keeper.
Now its Cam 2 Zam 1 as i write this
 
OMG! Zambia watakumbuka nafasi walizokosa....wamelala hii.
 
Na inaonyesha bado kuna mengine pia watafunga hawa Cameroon.....
 
Wamerejesha Zambia 2-2...

Magoli yote ya Zambia makosa ya mzee Song...
 
Naona dk 4 za nyongeza lakini ref kachezesha 3 tu. Angekuwa ni Sir Alex F. Huyu ref angefutwa kazi kwa jinsi huyu mzee anavyojua kulalamika na added time.
 
Back
Top Bottom