Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Duh! goli la kukosa lile Martin?.....hawa Nigeria wanacheza mbwembwe hawatofunga kama wakicheza hivi wako slow sana.....
 
kama kawaida tena nipo na wapopo kibao. ghana wakishinda nakula dola yangu mia and viseversa.last tym nililiwa d100...dk ya 29 wote wanashambuliana
 
Sawa, lakini uendelee kuwepo humu hadi mwisho wa game. Isije kutokea ukalogout kimya kimya 😀
Nitakuwa sija-log out ila net itakuwa imekata kwa bahati mbaya tu kama Chelsea imefungwa vile teh teh teh
 
jamani tukubaliane refa yuko biased.... na sijui kwanini hawa jamaa wanaharibu gemu zetu!!! hivi mnaona all fifty fifty balls zote anapeleka sehemu moja?

how can we call mnet kuwaambia haya mashuzi ya refa??

tumeona goli tatu katika quarter final zikiwa either zimekataliwa au zimelazimishwa na refa/linemes

whats with us africans?????
 
station gani hasa?

Mkuu, sijui unamaana gani ukisema station!! ukiingia kwenye link hiyo bofya live sport halafu utaona list za michezo mingi. Chagua/double click kwenye game unalolitaka na utaona window nyingine yenye hiyo stream!!
 
Mkuu, ukiingia kwenye link hiyo bofya live sport halafu utaona list za michezo mingi. Chagua/double click kwenye game unalolitaka na utaona window nyingine yenye hiyo stream!!
teyari kaka/dada nimekusoma...pamoja...
 
ni mapumziko nini?
Ilikuwa mapumziko mkuu, samahani tunakuwa hatukupi updates, hatuko fair. Tunafanya assumptions kuwa hata wewe uko na TV mbele yako. Match inaendelea, wanashambuliana kwa zamu, Nigeria wameamka. Wanaonyesha uhai sana! Huenda wakarudisha muda si mrefu. Inaelekea dakika ya 51 hivi
 
Huyu John Mensah wa Ghana hayupo huku Angola kwa madai kwamba yeye ni majeruhi, lakini ni jana tu ameichezea Sunderland kwenye Premier League dhidi ya Everton. Sasa naona uzalendo wa fedha ulimshinda akaamua aikimbie timu yake ya taifa kwa kisingizio cha kuwa majeruhi.
 
May be alikuwa majeruhi kabla ya mashindano kuanza
 
Huyu John Mensah wa Ghana hayupo huku Angola kwa madai kwamba yeye ni majeruhi, lakini ni jana tu ameichezea Sunderland kwenye Premier League dhidi ya Everton. Sasa naona uzalendo wa fedha ulimshinda akaamua aikimbie timu yake ya taifa kwa kisingizio cha kuwa majeruhi.
Yana mwisho mkuu, kuna siku atakuja kuona umuhimu wa kulitumikia taifa kwanza! Hata waliompa ruksa ya kulichezea taifa si kama walikuwa wendawazimu, sema miafrika ndivyo tulivyo...
 
Inaelekea dakika ya 62, mambo bado yako vilevile, Ghana 1 - Nigeria 0
 
Back
Top Bottom