MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Baada ya Kifo cha Ayatollah na kukamatwa kwa Maduro. Uhai wa Serikali za kidikteta dunia utakuwa mfupi sana hasa Afrika
Kwa nini naona hali hii?
China ambaye anaonekana ni mbadala wa Marekani hakufanya wala kutoa msaada kwa Maduro wala Ayatollah wakati wako kwenye wakati mgumu na hata Silaha zake hazikusaidia.
Harakati za Demokrasia zimepata nguvu sana, baada ya Ayatollah na Maduro kuanguka siku ya kwanza ya vita.