MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Si kweli. Anayewaangusha mwenyewe dikteta. Nadhani Trump ametumia hii kuepusha madhara ya mafaili ya Epsten dhidi yake.Baada ya Kifo cha Ayatollah na kukamatwa kwa Maduro. Uhai wa Serikali za kidikteta dunia utakuwa mfupi sana hasa Afrika
Kwa nini naona hali hii?
China ambaye anaonekana ni mbadala wa Marekani hakufanya wala kutoa msaada kwa Maduro wala Ayatollah wakati wako kwenye wakati mgumu na hata Silaha zake hazikusaidia.
Harakati za Demokrasia zimepata nguvu sana, baada ya Ayatollah na Maduro kuanguka siku ya kwanza ya vita.
Achana na hizo cheap propaganda Mzee.Si kweli. Anayewaangusha mwenyewe dikteta. Nadhani Trump ametumia hii kuepusha madhara ya mafaili ya Epsten dhidi yake.
China ni Paper Tiger.Baada ya Kifo cha Ayatollah na kukamatwa kwa Maduro. Uhai wa Serikali za kidikteta dunia utakuwa mfupi sana hasa Afrika
Kwa nini naona hali hii?
China ambaye anaonekana ni mbadala wa Marekani hakufanya wala kutoa msaada kwa Maduro wala Ayatollah wakati wako kwenye wakati mgumu na hata Silaha zake hazikusaidia.
Harakati za Demokrasia zimepata nguvu sana, baada ya Ayatollah na Maduro kuanguka siku ya kwanza ya vita.
Unamaanisha nini au huelewi somo?Achana na hizo cheap propaganda Mzee.
Files za Epstein over the Iran war!? Seriously!?
Ni kweli na hivyo kwa sababu hujui usemacho mwananguChina ni Paper Tiger.
Hakuna uhusiano kati ya vita dhidi ya Iran na masuala ya Epstein.Unamaanisha nini au huelewi somo?
Ni kweli hasa kwa wale wasiojua geopolitics and internal politics.Hakuna uhusiano kati ya vita dhidi ya Iran na masuala ya Epstein.
Open your eyes Mzee. Shida nyie ni vipofu mpaka yatakapomkuta ya Khamenei ndo mtakuwa na akili.Ni kweli na hivyo kwa sababu hujui usemacho mwanangu
ramli zingine ni ushirikina nonsense zaidi aise dahBaada ya Kifo cha Ayatollah na kukamatwa kwa Maduro. Uhai wa Serikali za kidikteta dunia utakuwa mfupi sana hasa Afrika