Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Nini Chris Brown, hata huyo Michael Jackson au Rashid Kalindende aka R Kelly si kwamba kila ngoma walizokuwa wanatoa zilikuwa zinabamba!
Thats song is acrap
Hii picha anaonekana kajengeka juu (sehemu ya kifua na tumbo) chini njiti (vimiguu vyembambaaaaaaa) awafate wataalam wa mazoezi wamuelekeze.
Labda aje na mengine mapya mkuu matumbo ila kwa sasa graph lake linakuja chiniUko very wrong mkuu...Diamond atakuwa mkubwa mara ata tatu ya hapa alipo amini usiamini,na kitorondo ni next big hit kibongobongo......Alafu kwa nini mashabiki wa Kiba mnamlaumu diamond kupotea kwa kiba, Kiba kapotea kwa uzembe wake msimhusishe yoyote.
Wakuu sishabikii ,ila I predict nyimbo zote zinazokuja za Diamond Platnumz hazitahit tena,Katoa wimbo unaitwa Kitorondo,nimesikiliza but kaimba rubbish ukifananisha na ''My number one''
count on me hakutakuwa na wimbo mzuri na utakao mjulisha Diamond kimataifa kama ''My number one remix"
now atafunikwa hata na wasanii wa kawaida wa hapa bongo.
NB:ASIMDHARAU ALIKIBA WOTE WANAFANANA TU
Mkuu ni promo tu nothing special,imagine Diamond media zikimkataa atahit kuliko wengine au kuliko huyo TID?kuna watu hawana promo na wanasikika hivo hivoKuna watu wana bahati tu kwenye maisha lakini sio wana vipaji sana, unaweza kuta mtu kichwa kimetulia sana lakini hatoki kimaisha.
Namkubali sana T.I.D ila unga na promo Hana ukweli Ana kipaji hata sauti yake imetulia sana.
Anataka kila songi la Diamond limbambe
wakati kila mtu anabambwa na anachokiona bora kwake
kuna songi mi zinankera hadi kesho Rita,busu la pink na bembeleza za marlow ila kuna watu zinawakuna mbaya
Hivi ushaona Enrique Inglesis nyimbo zake?zote zina hit!kuna huo wa Bailando kaimba kispanish na video ya kawaida just simple video,wimbo kama wa ukweli wa ukweli tu haijalishi lugha,lakini huo wimbo kila tv za ulaya nadhani hata bongo lazima upigwe tuUna matatizo yako binafsi na marlow si bure
kwahiyo we ni mshabiki wa kijana yupi anayejituma?Hatuhitaj ustaa jina 2nahtaj ubunifu na ujanja wa kusoma soko la muzik na mashabik kibaaa kibaa...wat has he done so far???!!! Mi c shabik wa diamond bt ni shabik wa kjana mwenzang yyte anayejtuma na anayejua kusoma alama za nyakat, diamond hoyeeee!!!