Anguko la Makonda

Hilo andiko lako lingeleta maana kama ingekuwa labda alitumbuliwa, lakini alijiengua mwenyewe akajaribu bahati sehemu nyingine, mambo yakawa tofauti, basi anaendelea na maisha mengine. Cha ajabu bado unalala unamuota
Kabisa kwa upeo wako mpk mtu atumbuliwe ndo liwe ANGUKO??
Hivi Makonda wa leo ndo Makonda wa juzi jombaa??
 
Ni majungu tu hayo, Makonda hakuwahi kufukuzwa kazi au kutumbuliwa

Aliachia kiti akagombee ubunge ambako kura hazikutosha

Makonda atarudi tu
Arudi Kama Mbunge wa kuteuliwa na Waziri (Ulinzi)?
 
Serikali za kiafrica zinawalinda wahalifu huyo ana makubwa kuliko hata ya Sabaya enzi za upumbavu.
 
Ni majungu tu hayo, Makonda hakuwahi kufukuzwa kazi au kutumbuliwa

Aliachia kiti akagombee ubunge ambako kura hazikutosha

Makonda atarudi tu
Hana vyeti...safari hii tutathibitisha cheti chake Cha form four
 
Ile nyumba anayodaiwa na Gharib niliisemea hapa kabla Magufuli hajazikwa. JF haidanganyi
 
Kuporomoka kwa Makonda kumeenda sawa na Mayor Benjamin Sitta na DED wa Kinindoni Aron Kajurumjuli. Utatu wao ilikuwa unapiga hela za miradi ya Coco, Machinjio na Stendi
 
Hatupaswi kumhukumu mtu kwani sio jukumu letu ni la mahakama au Mwenyezi wa yote. Makonda alipewa madaraka na hakuyatumia madaraka yale vizuri kweni aliwazuru wengine na kuwa na dharau kwa viongozi wenzake. Ila pia kuna vitu alivitekeleza vema by chance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…