Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Threads nyingine za uzushi wa Kigogo kwamba Makonda kakamatwa, wakati hajakamatwa.Mbona mods maondoa threads za makonda? Why?
Kwa nini mnawahujumu wana JF?
Kuna thread zilikuwa zinaenda vizuri zikiwa na wachangiaji wa kutosha na viewers hazionekani! This is not fair.
Threads kama hizo kuzifuta ni sawa tu.
Kwa sababu ni za uongo, na Wabongo wengi huwa hawahoji kama ni za kweli au uongo, wanachangia uongo kama kweli vile.