Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Makonda cheo kilimzidi kimo.Kijana Ambaye alitamba Miaka kadhaa nyuma ameonekana kuendelea kukata tamaa.
Tukumbuke Makonda ni nani
Makonda akiwa na cheo cha Mkuu wa wilaya Kinondoni aliwahi kuja na mapendekezo na Maagizo kadhaa
1. Aliwahi kuwatangazia wanafunzi wote waliohitimu kwenda ofisini kwake kuwasaidia kupata kazi, jambo ambalo lilipelekea Umaarufu wake.
2. Makonda aliwahi kuwaweka ndani maafisa Ardhi waliochelewa kufika kwenye eneo la kazi kwenye Kupima viwanja
3. Makonda aliwahi kumuokotesha Balozi wa Burundi uchafu (baada ya kutupa chupa ya maji mtaani akamfuata akaamuru aiokote)
4. Makonda amewahi kuwataja Wauza madawa ya Kulevya akamtaja mpaka aliyempa connection ya kazi
5. Makonda kwa Mujbu wake ndo amekula raha kuzidi watu wote
6. Makonda alianzisha Operation ya kuwasaka Mashoga akaambulia Ban ya Kutokanyaga Duniani kutoka kwa Pompeo
7. Makonda aliwahi kumtamkia Sirro kwamba elfu 5 za rushwa inapita kwake
8. Makonda aliwai Kuagiza Kontena la vifaa vya Kufundishia na Tractor ndani yake
9. Ameomba msaada kujengewa hospitali
ANGUKO
Hakuwa na uhusiano mzuri na viongozi wenzake kama
PM, VP, Mpango, Sirro Mpaka Bashiru
Akatokea kukaidi mpaka Maagizo yao, kwa Mujibu wa Bashiru
Hayupo kwenye locus ya wanaotakiwa kushika nafasi tena
He is a country bumpkin with neither political education nor self awareness.
Sababu pekee iliyompaisha ni kwamba alikuwa mtoto aliyetokea nyumbani kwa Godfather wake Samwel Sitta.
Alibebwa bila elimu wala kujitambua.
Na mtu ambaye hana elimu wala kujitambua utambeba itafikia pahala utamchoka tu.