Anguko la Makonda

Anguko la Makonda

Kijana Ambaye alitamba Miaka kadhaa nyuma ameonekana kuendelea kukata tamaa.

Tukumbuke Makonda ni nani

Makonda akiwa na cheo cha Mkuu wa wilaya Kinondoni aliwahi kuja na mapendekezo na Maagizo kadhaa

1. Aliwahi kuwatangazia wanafunzi wote waliohitimu kwenda ofisini kwake kuwasaidia kupata kazi, jambo ambalo lilipelekea Umaarufu wake.

2. Makonda aliwahi kuwaweka ndani maafisa Ardhi waliochelewa kufika kwenye eneo la kazi kwenye Kupima viwanja

3. Makonda aliwahi kumuokotesha Balozi wa Burundi uchafu (baada ya kutupa chupa ya maji mtaani akamfuata akaamuru aiokote)

4. Makonda amewahi kuwataja Wauza madawa ya Kulevya akamtaja mpaka aliyempa connection ya kazi

5. Makonda kwa Mujbu wake ndo amekula raha kuzidi watu wote

6. Makonda alianzisha Operation ya kuwasaka Mashoga akaambulia Ban ya Kutokanyaga Duniani kutoka kwa Pompeo

7. Makonda aliwahi kumtamkia Sirro kwamba elfu 5 za rushwa inapita kwake

8. Makonda aliwai Kuagiza Kontena la vifaa vya Kufundishia na Tractor ndani yake

9. Ameomba msaada kujengewa hospitali

ANGUKO
Hakuwa na uhusiano mzuri na viongozi wenzake kama

PM, VP, Mpango, Sirro Mpaka Bashiru

Akatokea kukaidi mpaka Maagizo yao, kwa Mujibu wa Bashiru

Hayupo kwenye locus ya wanaotakiwa kushika nafasi tena
Makonda cheo kilimzidi kimo.

He is a country bumpkin with neither political education nor self awareness.

Sababu pekee iliyompaisha ni kwamba alikuwa mtoto aliyetokea nyumbani kwa Godfather wake Samwel Sitta.

Alibebwa bila elimu wala kujitambua.

Na mtu ambaye hana elimu wala kujitambua utambeba itafikia pahala utamchoka tu.
 
Ni majungu tu hayo, Makonda hakuwahi kufukuzwa kazi au kutumbuliwa

Aliachia kiti akagombee ubunge ambako kura hazikutosha

Makonda atarudi tu
Siyo kura hazikutosha,bali sema kuwa wana dsm wilaya ya kigamboni tulimkataa kata kata kutokana na tabia zake za kujiona kuwa yeye ndiye Dsm.
 
Vyovyote vile iwavyo approach yake haikua nzuri kama mwanadamu katika masuala mengi aliyosimamia..mimi nakumbuka zaidi alivyomharibia mama mmoja mtu mzima kwenye mikutano yake Live alimsononesha sana yule mama, kingine ni kile mtumishi mmoja alianguka kibinadamu angejali kwamba yule ana familia hata kama hana cheo au ana watoto wakiona baba yao anaanguka na wewe unasema DAR OYEEE, THAT WAS not right.

Vyeo vya umma hupita na kama haukukaa vizuri na watu utaumia sana mana sasa watakusema sana. Kipindi hicho umepoteza marafiki wote...watu ni wanafiki sana kama huna cheo 99% wanaondoka. funzo hata wale mlio na madaraka leo, muelewe hayadumu milele ishi na watu vizuri ili wakukumbuke na uwe na amani rohoni.

Wapo wengi serikalini wananyayasa sana watumishi, wanawazushia na kuwasemea uongo mwingi lakini wajue yana mwisho.
 
Hilo andiko lako lingeleta maana kama ingekuwa labda alitumbuliwa, lakini alijiengua mwenyewe akajaribu bahati sehemu nyingine, mambo yakawa tofauti, basi anaendelea na maisha mengine. Cha ajabu bado unalala unamuota
 
Ma milioni 100 au 200 au 300 hadi mabilioni aliyokua anadhulumu watu hatakaa ayaone tena

Nakwambie hadi ile X6 na Ranger alizodhulumu zitakosa mafuta atapiga mguu nakwambia

Hela hua zinaisha fasta sana ndugu
Sahihi kabisa ukijumilsha na machozi ya watu alio wafanyia ubaya ,huyu mtu lazima ajute moyoni
 
Thubutu

Makonda hana uwezo wa Kufika hata Robo yangu

Exposure
Namzidi sana

Mali
I have almost €2Milion

Elimu
PhD

Yeye ana Kipi?
Au kwakuwa tunatumia majina fake
Mpe, mpe za uso huyo! Na akome kabisa!

Haya sasa, sijapata kukusoma kama nilivyokusoma hapa leo mkuu Britanicca.

Nadhani huyo lofa kagusa mshipa wa fahamu uliowazi!
 
Kitendo cha kumpiga mzee sawa na baba yake ilikua ni kupata cheo cha muda na kuanguka tena japo naamini huyo dogo bado anavuta pesa sababu hasikiki kwenye mitandao ila kuna kazi anazifanya kwa sasa na kwa awamu hii na ukijumlisha kabila na aliyoyafanya nyuma bado ni mwana mpendwa wa mfalme
 
Makonda cheo kilimzidi kimo.

He is a country bumpkin with neither political education nor self awareness.

Sababu pekee iliyompaisha ni kwamba alikuwa mtoto aliyetokea nyumbani kwa Godfather wake Samwel Sitta.

Alibebwa bila elimu wala kujitambua.

Na mtu ambaye hana elimu wala kujitambua utambeba itafikia pahala utamchoka tu.
To be fair to him:

Itamkwe pia kwamba mbali ya kusimama kwa mgongo huo wa 'godfather', juhudi zake binafsi pia zilimuinua kiasi fulani.

Mimi nakumbuka picha ile iliyomwonyesha akifunga kamba za viatu vya Ridhiwani.

Nakumbuka pia kuinuka kwake baada ya kumtwanga makofi mzee Warioba.

Juhudi hizi, pamoja na nyingine, sio haba kumfikisha hadi pale alipofikia.
 
Kijana Ambaye alitamba Miaka kadhaa nyuma ameonekana kuendelea kukata tamaa.

Tukumbuke Makonda ni nani

Makonda akiwa na cheo cha Mkuu wa wilaya Kinondoni aliwahi kuja na mapendekezo na Maagizo kadhaa

1. Aliwahi kuwatangazia wanafunzi wote waliohitimu kwenda ofisini kwake kuwasaidia kupata kazi, jambo ambalo lilipelekea Umaarufu wake.

2. Makonda aliwahi kuwaweka ndani maafisa Ardhi waliochelewa kufika kwenye eneo la kazi kwenye Kupima viwanja.

3. Makonda aliwahi kumuokotesha Balozi wa Burundi uchafu (baada ya kutupa chupa ya maji mtaani akamfuata akaamuru aiokote).

4. Makonda amewahi kuwataja Wauza madawa ya Kulevya akamtaja mpaka aliyempa connection ya kazi.

5. Makonda kwa Mujbu wake ndo amekula raha kuzidi watu wote.

6. Makonda alianzisha Operation ya kuwasaka Mashoga akaambulia Ban ya Kutokanyaga Duniani kutoka kwa Pompeo.

7. Makonda aliwahi kumtamkia Sirro kwamba elfu 5 za rushwa inapita kwake.

8. Makonda aliwai Kuagiza Kontena la vifaa vya Kufundishia na Tractor ndani yake.

9. Ameomba msaada kujengewa hospitali.

ANGUKO
Hakuwa na uhusiano mzuri na viongozi wenzake kama.

PM, VP, Mpango, Sirro Mpaka Bashiru.

Akatokea kukaidi mpaka Maagizo yao, kwa Mujibu wa Bashiru.

Hayupo kwenye locus ya wanaotakiwa kushika nafasi tena.

Yote kumi, lakini sababu kuu ya anguko lake ni ugomvi wake na Mtumishi wa Mungu Askofu Dr Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima...

Unakumbuka maneno yake? Labda umesahau. Ngoja nikukumbushe..

Bishop Dr Josephat Gwajima alisema, "....Namfuta Paul Makonda katika tasnia ya uongozi na siasa..."

Kumbuka "NENO" la Mtoto wa Mungu ni kitu halisi. Mtumishi na Mtoto wa Mungu Yehova akitamka "NENO" linageuka kuwa kitu halisi...

Kumbuka pia kuwa, Ulimwengu na vitu vyote wanyama, miti, maji, anga nk nk viliumbwa kwa kutamka maneno toka ktk kinywa cha Mungu...

Mungu anaishi ndani ya watoto wake. Makonda akitaka ku - reverse hilo NENO, aende na kutubu dhambi yake, baasi...
 
Siku ataibuka kivingine kabisa ndipo utakapojua kua hii nchi ni yakipekee Duniani.
 
Pesa atazitoa wapi? Au kamshahara ka ukuu wa mkoa
Hii nchi ina katiba sana Mkuu, usikute jamaa anakula mshahara wa ukuu Wa wilaya ya kinondoni na ukuu wa mkoa wa Dar mpaka nchi itakapokua jamuhuri nyingine.
 
Back
Top Bottom