Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, nakubaliana na wewe 100% kwamba huenda Makonda akarudi, na pengine akapewa madaraka makubwa zaidi. Lakini kuondolewa kwake ni kama a wake up call: kwamba cheo ni dhamana na kinaweza kukuponyoka wakati wowote. Haswa cheo cha kuteuliwa na Mkuu wa nchi.Mkuu naona huzijui siasa za Tanzania,uliza akina Simbachimwene, Mwigulu,Nchimbi ya kesho huyajui na hujui aliyeaanguka juzi kesho kutwa anaweza akaamuka, angalia hata kule Zenj, makamu wa kwanza wa raisi ndie yule aliyetupiwa vilago miaka ya nyuma ,na hata Makonda unaweza shangaa kesho kaula tena zaidi ya huko nyuma,nani alitegemea Bashiru kuwa KMK?
Ila kanenepa sana bila mpango, kwenye ule majengo wa ghorofa 8 unaoendelea kujrngwa ni wa kwake? Kila siku naikuta Range Rover Autobiography imepaki, lete maneno.Nimekutana naye mara kadhaa kule masaki mwisho jirani na police post.
Kwenye uwanja ule wa mpira yupo naye anapiga tizi...umeona peach ile walivyoitengeneza.
In short mwana fungu lipo mambo yake yanakwenda kama kawaida tu.
Ova
Sasa huyu kitu gani kitakacho mtisha wakati amekuwa akijaza mchanga malori hapo Kawe. Konda wa daladalá. Mama yake amekuwa akienda kumwangilia chuoni wakati ndala zake zimekatika.Mpunga ulishakata matajiri wote hawataki kumuona
Hana biashara competitive na anaweza isimamia
Alikua anakula hela za matajiri kwa intimidation na looting,thats gone!
Kuna siku anaweza tembea kwa miguu live....
Hela alizokusanya,i bet zishaisha...hela hata iwe nyingi kiwango gani,huisha fasta sana kama haizalishwi
Ndio shida ya kutegemea siasa hivi
Siasa ya kuchaguliwa asahau,alishaudhi umma kwa kiwango kikubwa sana
Kura za kigamboni ni indication tosha he will never get elected kupitia sanduku na imani ya wananchi walio wengi
Ungee kaa kimya bila kutaka how worth are you, comment hii usinge iona, kama €2 million ndio uwezo wako, usishangae Makonda anaweza kukuzidi uwezo .Thubutu
Makonda hana uwezo wa Kufika hata Robo yangu
Exposure
Namzidi sana
Mali
I have almost €2Milion
Elimu
PhD
Yeye ana Kipi?
Au kwakuwa tunatumia majina fake
Huyo jamaa ni haramia, amedhurumu sana pesa matajili na kuwapira magari.Pesa atazitoa wapi? Au kamshahara ka ukuu wa mkoa
Kwani kuna wangapi wanaokula bata zaidi yake, tunachoangalia ni yeye kutokuwa na uwezo tena wa kutumia madaraka ya umma kwa manufaa yake binafsi.Anaishi + anakula bata tu
Bora watu sahivi wamchunie tu
Hajapoteza kitu
Ova
But how can it be sarcasm?Your sarcasm knows no bound!
Eeenh Heee, Mabina na kipistol chake kuwatishia wananchi wenye hasira!Mungu halipi mbali wewe alitamba sana kipindi chake utazani hajawahi kuwa otingo wa magari ya mzee mabina kipindi hicho RIP hayati mabina
10. Aliwahi kulitukana bunge hadi likamkalisha kikao cha kuliomba samahani.Kijana Ambaye alitamba Miaka kadhaa nyuma ameonekana kuendelea kukata tamaa.
Tukumbuke Makonda ni nani
Makonda akiwa na cheo cha Mkuu wa wilaya Kinondoni aliwahi kuja na mapendekezo na Maagizo kadhaa
1. Aliwahi kuwatangazia wanafunzi wote waliohitimu kwenda ofisini kwake kuwasaidia kupata kazi, jambo ambalo lilipelekea Umaarufu wake.
2. Makonda aliwahi kuwaweka ndani maafisa Ardhi waliochelewa kufika kwenye eneo la kazi kwenye Kupima viwanja.
3. Makonda aliwahi kumuokotesha Balozi wa Burundi uchafu (baada ya kutupa chupa ya maji mtaani akamfuata akaamuru aiokote).
4. Makonda amewahi kuwataja Wauza madawa ya Kulevya akamtaja mpaka aliyempa connection ya kazi.
5. Makonda kwa mujibu wake ndo amekula raha kuzidi watu wote.
6. Makonda alianzisha Operation ya kuwasaka Mashoga akaambulia Ban ya Kutokanyaga Duniani kutoka kwa Pompeo.
7. Makonda aliwahi kumtamkia Sirro kwamba elfu 5 za rushwa inapita kwake.
8. Makonda aliwai Kuagiza Kontena la vifaa vya Kufundishia na Tractor ndani yake.
9. Ameomba msaada kujengewa hospitali.
ANGUKO
Hakuwa na uhusiano mzuri na viongozi wenzake kama.
PM, VP, Mpango, Sirro mpaka Bashiru.
Akatokea kukaidi mpaka Maagizo yao, kwa mujibu wa Bashiru.
Hayupo kwenye locus ya wanaotakiwa kushika nafasi tena.
We kijana huyo ndio katibu mkuu ajaye wa ccm , huna habari ?Kijana Ambaye alitamba Miaka kadhaa nyuma ameonekana kuendelea kukata tamaa.
Tukumbuke Makonda ni nani
Makonda akiwa na cheo cha Mkuu wa wilaya Kinondoni aliwahi kuja na mapendekezo na Maagizo kadhaa
1. Aliwahi kuwatangazia wanafunzi wote waliohitimu kwenda ofisini kwake kuwasaidia kupata kazi, jambo ambalo lilipelekea Umaarufu wake.
2. Makonda aliwahi kuwaweka ndani maafisa Ardhi waliochelewa kufika kwenye eneo la kazi kwenye Kupima viwanja.
3. Makonda aliwahi kumuokotesha Balozi wa Burundi uchafu (baada ya kutupa chupa ya maji mtaani akamfuata akaamuru aiokote).
4. Makonda amewahi kuwataja Wauza madawa ya Kulevya akamtaja mpaka aliyempa connection ya kazi.
5. Makonda kwa mujibu wake ndo amekula raha kuzidi watu wote.
6. Makonda alianzisha Operation ya kuwasaka Mashoga akaambulia Ban ya Kutokanyaga Duniani kutoka kwa Pompeo.
7. Makonda aliwahi kumtamkia Sirro kwamba elfu 5 za rushwa inapita kwake.
8. Makonda aliwai Kuagiza Kontena la vifaa vya Kufundishia na Tractor ndani yake.
9. Ameomba msaada kujengewa hospitali.
ANGUKO
Hakuwa na uhusiano mzuri na viongozi wenzake kama.
PM, VP, Mpango, Sirro mpaka Bashiru.
Akatokea kukaidi mpaka Maagizo yao, kwa mujibu wa Bashiru.
Hayupo kwenye locus ya wanaotakiwa kushika nafasi tena.
But how can it be sarcasm?
Those were actual actions undertaken by the individual, and they appeared to have pleased the sit of power at the time.
So he was rewarded for his efforts at that time by being appointed District Commissioner.
Prior to those actions, few people knew there existed a person by the name of Paul Christian Makonda.
Enter John Pombe Magufuli, and for quite different reasons, Makonda's fortunes changed drastically for the better!
Kijana Ambaye alitamba Miaka kadhaa nyuma ameonekana kuendelea kukata tamaa.