Anguko la Makonda

Anguko la Makonda

Ukiitwa kuthibitisha hizo tuhuma utaweza ?
Kuthibitisha tuhuma sio tatizo, tatizo unatakiwa uthibitishe wapi, hapa hapa ktk mfumo ambao hao hao wanaokutaka uthibitishe ndio "Accomplices".
 
Kijana Ambaye alitamba Miaka kadhaa nyuma ameonekana kuendelea kukata tamaa.

Tukumbuke Makonda ni nani

Makonda akiwa na cheo cha Mkuu wa wilaya Kinondoni aliwahi kuja na mapendekezo na Maagizo kadhaa

1. Aliwahi kuwatangazia wanafunzi wote waliohitimu kwenda ofisini kwake kuwasaidia kupata kazi, jambo ambalo lilipelekea Umaarufu wake.

2. Makonda aliwahi kuwaweka ndani maafisa Ardhi waliochelewa kufika kwenye eneo la kazi kwenye Kupima viwanja.

3. Makonda aliwahi kumuokotesha Balozi wa Burundi uchafu (baada ya kutupa chupa ya maji mtaani akamfuata akaamuru aiokote).

4. Makonda amewahi kuwataja Wauza madawa ya Kulevya akamtaja mpaka aliyempa connection ya kazi.

5. Makonda kwa mujibu wake ndo amekula raha kuzidi watu wote.

6. Makonda alianzisha Operation ya kuwasaka Mashoga akaambulia Ban ya Kutokanyaga Duniani kutoka kwa Pompeo.

7. Makonda aliwahi kumtamkia Sirro kwamba elfu 5 za rushwa inapita kwake.

8. Makonda aliwai Kuagiza Kontena la vifaa vya Kufundishia na Tractor ndani yake.

9. Ameomba msaada kujengewa hospitali.

ANGUKO
Hakuwa na uhusiano mzuri na viongozi wenzake kama.

PM, VP, Mpango, Sirro mpaka Bashiru.

Akatokea kukaidi mpaka Maagizo yao, kwa mujibu wa Bashiru.

Hayupo kwenye locus ya wanaotakiwa kushika nafasi tena.

Mwanakulitafuta...alijisahau sana. Yaani ni zaidi ya utoto wa kukosa uzoefu. Ule ni utovu wa tabia
 
Sio vzr kubishana na mtu wakati muinuko upo na siku akipanda mutamuona. Ukiwa bondeni hauonekani subiri akipanda mlimani ndo ataonekana vzr.
 
Ameanza mazoezi yakupanda Bodaboda
FB_IMG_1614799518336.jpg
 
Kijana Ambaye alitamba Miaka kadhaa nyuma ameonekana kuendelea kukata tamaa.

Tukumbuke Makonda ni nani

Makonda akiwa na cheo cha Mkuu wa wilaya Kinondoni aliwahi kuja na mapendekezo na Maagizo kadhaa

1. Aliwahi kuwatangazia wanafunzi wote waliohitimu kwenda ofisini kwake kuwasaidia kupata kazi, jambo ambalo lilipelekea Umaarufu wake.

2. Makonda aliwahi kuwaweka ndani maafisa Ardhi waliochelewa kufika kwenye eneo la kazi kwenye Kupima viwanja.

3. Makonda aliwahi kumuokotesha Balozi wa Burundi uchafu (baada ya kutupa chupa ya maji mtaani akamfuata akaamuru aiokote).

4. Makonda amewahi kuwataja Wauza madawa ya Kulevya akamtaja mpaka aliyempa connection ya kazi.

5. Makonda kwa mujibu wake ndo amekula raha kuzidi watu wote.

6. Makonda alianzisha Operation ya kuwasaka Mashoga akaambulia Ban ya Kutokanyaga Duniani kutoka kwa Pompeo.

7. Makonda aliwahi kumtamkia Sirro kwamba elfu 5 za rushwa inapita kwake.

8. Makonda aliwai Kuagiza Kontena la vifaa vya Kufundishia na Tractor ndani yake.

9. Ameomba msaada kujengewa hospitali.

ANGUKO
Hakuwa na uhusiano mzuri na viongozi wenzake kama.

PM, VP, Mpango, Sirro mpaka Bashiru.

Akatokea kukaidi mpaka Maagizo yao, kwa mujibu wa Bashiru.

Hayupo kwenye locus ya wanaotakiwa kushika nafasi tena.
Hili la Makonda limeisha mkuu, sasa tungependa tusikie anguko la aliekuwa bosi wa Makonda.
 
Hilo andiko lako lingeleta maana kama ingekuwa labda alitumbuliwa, lakini alijiengua mwenyewe akajaribu bahati sehemu nyingine, mambo yakawa tofauti, basi anaendelea na maisha mengine. Cha ajabu bado unalala unamuota
Labda Halina maana kwako, nampongeza sana mleta mada kwa kutunza kumbukumbu, akina Hapi na Chalamila nao kuna kitu cha kujifunza hapa
 
Ila waTanzania tuache majungu + umbeya + roho mbaya,uzi unakimbiza balaa...

yangekuwa ni masuala ya jinsi gani tujikwamue kiuchumi ili tuepuke hili janga la kiumaskini,pasingekuwepo na mchangiaji humu!
Vyote ulivyovitaja ndio maendeleo yenyewe
 
Kwni jamaa bado anawasumbua watu mpaka mnamfungulia uzi?
 
We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when men are afraid of the light." - Plato.
Kiranga
I like your signature.
However, on the bold text; suppose they get afraid because they don't really see it as light?
 
Yote kumi, lakini sababu kuu ya anguko lake ni ugomvi wake na Mtumishi wa Mungu Askofu Dr Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima...

Unakumbuka maneno yake? Labda umesahau. Ngoja nikukumbushe..

Bishop Dr Josephat Gwajima alisema, "....Namfuta Paul Makonda katika tasnia ya uongozi na siasa..."

Kumbuka "NENO" la Mtoto wa Mungu ni kitu halisi. Mtumishi na Mtoto wa Mungu Yehova akitamka "NENO" linageuka kuwa kitu halisi...

Kumbuka pia kuwa, Ulimwengu na vitu vyote wanyama, miti, maji, anga nk nk viliumbwa kwa kutamka maneno toka ktk kinywa cha Mungu...

Mungu anaishi ndani ya watoto wake. Makonda akitaka ku - reverse hilo NENO, aende na kutubu dhambi yake, baasi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maajabu huyo much nae kawa mwanasiasa. Lol
Maisha bila unafiki hayaendi.
 
Back
Top Bottom