Mantombazane
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 579
- 367
Anajipanga kugombea urais mwaka 2025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuthibitisha tuhuma sio tatizo, tatizo unatakiwa uthibitishe wapi, hapa hapa ktk mfumo ambao hao hao wanaokutaka uthibitishe ndio "Accomplices".Ukiitwa kuthibitisha hizo tuhuma utaweza ?
Kijana Ambaye alitamba Miaka kadhaa nyuma ameonekana kuendelea kukata tamaa.
Tukumbuke Makonda ni nani
Makonda akiwa na cheo cha Mkuu wa wilaya Kinondoni aliwahi kuja na mapendekezo na Maagizo kadhaa
1. Aliwahi kuwatangazia wanafunzi wote waliohitimu kwenda ofisini kwake kuwasaidia kupata kazi, jambo ambalo lilipelekea Umaarufu wake.
2. Makonda aliwahi kuwaweka ndani maafisa Ardhi waliochelewa kufika kwenye eneo la kazi kwenye Kupima viwanja.
3. Makonda aliwahi kumuokotesha Balozi wa Burundi uchafu (baada ya kutupa chupa ya maji mtaani akamfuata akaamuru aiokote).
4. Makonda amewahi kuwataja Wauza madawa ya Kulevya akamtaja mpaka aliyempa connection ya kazi.
5. Makonda kwa mujibu wake ndo amekula raha kuzidi watu wote.
6. Makonda alianzisha Operation ya kuwasaka Mashoga akaambulia Ban ya Kutokanyaga Duniani kutoka kwa Pompeo.
7. Makonda aliwahi kumtamkia Sirro kwamba elfu 5 za rushwa inapita kwake.
8. Makonda aliwai Kuagiza Kontena la vifaa vya Kufundishia na Tractor ndani yake.
9. Ameomba msaada kujengewa hospitali.
ANGUKO
Hakuwa na uhusiano mzuri na viongozi wenzake kama.
PM, VP, Mpango, Sirro mpaka Bashiru.
Akatokea kukaidi mpaka Maagizo yao, kwa mujibu wa Bashiru.
Hayupo kwenye locus ya wanaotakiwa kushika nafasi tena.
Hili la Makonda limeisha mkuu, sasa tungependa tusikie anguko la aliekuwa bosi wa Makonda.Kijana Ambaye alitamba Miaka kadhaa nyuma ameonekana kuendelea kukata tamaa.
Tukumbuke Makonda ni nani
Makonda akiwa na cheo cha Mkuu wa wilaya Kinondoni aliwahi kuja na mapendekezo na Maagizo kadhaa
1. Aliwahi kuwatangazia wanafunzi wote waliohitimu kwenda ofisini kwake kuwasaidia kupata kazi, jambo ambalo lilipelekea Umaarufu wake.
2. Makonda aliwahi kuwaweka ndani maafisa Ardhi waliochelewa kufika kwenye eneo la kazi kwenye Kupima viwanja.
3. Makonda aliwahi kumuokotesha Balozi wa Burundi uchafu (baada ya kutupa chupa ya maji mtaani akamfuata akaamuru aiokote).
4. Makonda amewahi kuwataja Wauza madawa ya Kulevya akamtaja mpaka aliyempa connection ya kazi.
5. Makonda kwa mujibu wake ndo amekula raha kuzidi watu wote.
6. Makonda alianzisha Operation ya kuwasaka Mashoga akaambulia Ban ya Kutokanyaga Duniani kutoka kwa Pompeo.
7. Makonda aliwahi kumtamkia Sirro kwamba elfu 5 za rushwa inapita kwake.
8. Makonda aliwai Kuagiza Kontena la vifaa vya Kufundishia na Tractor ndani yake.
9. Ameomba msaada kujengewa hospitali.
ANGUKO
Hakuwa na uhusiano mzuri na viongozi wenzake kama.
PM, VP, Mpango, Sirro mpaka Bashiru.
Akatokea kukaidi mpaka Maagizo yao, kwa mujibu wa Bashiru.
Hayupo kwenye locus ya wanaotakiwa kushika nafasi tena.
Ni kama mtu anayekariri kila kitu anachofundishwaSiasa za kujipendekeza kupotea ni rahisi sana na kurudi pia ni rahisi hivyo hivyo.
Uliifunga na nani?Una chuki gani na Makonda mpaka uibue tena ishu yake leo wakati tulishaifunga? Alikuchukulia mkeo?
Labda Halina maana kwako, nampongeza sana mleta mada kwa kutunza kumbukumbu, akina Hapi na Chalamila nao kuna kitu cha kujifunza hapaHilo andiko lako lingeleta maana kama ingekuwa labda alitumbuliwa, lakini alijiengua mwenyewe akajaribu bahati sehemu nyingine, mambo yakawa tofauti, basi anaendelea na maisha mengine. Cha ajabu bado unalala unamuota
Vyote ulivyovitaja ndio maendeleo yenyeweIla waTanzania tuache majungu + umbeya + roho mbaya,uzi unakimbiza balaa...
yangekuwa ni masuala ya jinsi gani tujikwamue kiuchumi ili tuepuke hili janga la kiumaskini,pasingekuwepo na mchangiaji humu!
KirangaWe can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when men are afraid of the light." - Plato.
Msambwanda sasa !! Hata Shilole anasubiriAmeanza mazoezi yakupanda BodabodaView attachment 1716737
Sasa ndo umeandika nini ?Anaweza kurudi kivingine kama makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Othman Sharif!
Maisha ni gwaride, ikisikika "nyuma geuka" imeisha hiyoooohmwenzake gwajima kawa mbunge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maajabu huyo much nae kawa mwanasiasa. LolYote kumi, lakini sababu kuu ya anguko lake ni ugomvi wake na Mtumishi wa Mungu Askofu Dr Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima...
Unakumbuka maneno yake? Labda umesahau. Ngoja nikukumbushe..
Bishop Dr Josephat Gwajima alisema, "....Namfuta Paul Makonda katika tasnia ya uongozi na siasa..."
Kumbuka "NENO" la Mtoto wa Mungu ni kitu halisi. Mtumishi na Mtoto wa Mungu Yehova akitamka "NENO" linageuka kuwa kitu halisi...
Kumbuka pia kuwa, Ulimwengu na vitu vyote wanyama, miti, maji, anga nk nk viliumbwa kwa kutamka maneno toka ktk kinywa cha Mungu...
Mungu anaishi ndani ya watoto wake. Makonda akitaka ku - reverse hilo NENO, aende na kutubu dhambi yake, baasi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inaonekana huijui CCM wewe...wanajua kulindana hao
Huku na kule utashangaa siku jamaa anapewa hata ubalozi wa Malawi
trueMaisha ni gwaride, ikisikika "nyuma geuka" imeisha hiyooooh
[emoji23][emoji23][emoji23]