Africa bwana sijuwi Nani katuroga?Simba imefikia hatua ya kualikwa mechi ya kirafiki na timu ya Manyoni Secondary School, ujue ndo dalili zenyewe.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Simba haiko vizuri kwa sasa, ipo kwenye mawimbi. Mahali salama pekee kwa meli ni bandarini, na meli haikuundwa kukaa bandarini.Tutapata Kila Aina ya changamoto lakini Simba bado ipo vizuri tu
Kwalipi hasa Kufungwa mechi 2Simba haiko vizuri kwa sasa, ipo kwenye mawimbi. Mahali salama pekee kwa meli ni bandarini, na meli haikuundwa kukaa bandarini.
Ni kweli, ama mwisho 80' au kwenye 90'. Simba ilikuwa na matokeo mabaya sana. Mchezo wa kufunga ligi ilicheza na Yanga na ilikuwa ishuke daraja kama ingefungwa. Matokeo Yanga ilifungwa 2-1.Simba ilifikia hata kugombea nafasi isishuke daraja.
Sasa kwa Simba hii inayogombea ubingwa,
Hilo anguko lipo wapi?
Hizo ni ramli tu zinazopigwa na moshi wa bangi.
Hakuna ukwl wowote.
Haikuanza ligi vizuri na matokeo kwa ujumla si mazuri. Lakini si jambo la ajabu, si club ya kwanza kukumbwa na hali hiyo, kwa Tanzania au kwingine.Kwalipi hasa Kufungwa mechi 2
Hiyo miaka 4 zilikuwa ni kwa nguvu za Bashite na alihakikisha anahiharibu UtopoloNilisema na ninarudia. Simba na Yanga hutamba Kwa kupokezana. Haujawah tokea zikatamba Kwa pamoja
Sio kaukweli, ni liukweli likubwa.Kuna kaukweli hapa
Ukweli mtupuHiyo miaka 4 zilikuwa ni kwa nguvu za Bashite na alihakikisha anahiharibu Utopolo
Kwahiyo miaka ya 2012 wakati utopolo anakung'utwa goli 5, 0 na simba ilikuwa mipango ya bashite?Hiyo miaka 4 zilikuwa ni kwa nguvu za Bashite na alihakikisha anahiharibu Utopolo
Kwani mbona wewe kolo ulichomekwa tanotano kule Congo na Egypt na Jana umechomeka kimoko na Faisal halafu sie walau hatusemi tumewafichia kabisa hzo Siri zenu.. Wananchi haturingi kabisaKwahiyo miaka ya 2012 wakati utopolo anakung'utwa goli 5, 0 na simba ilikuwa mipango ya bashite?
Kwani as vita na Aly ahaly ni watani wa simba? Kwahiyo baada ya Yanga kushindwa kumfunga simba 5+ miaka yote umeamua kuipata furaha kutoka kwa wakongo na wa Misri yahe?Kwani mbona wewe kolo ulichomekwa tanotano kule Congo na Egypt na Jana umechomeka kimoko na Faisal halafu sie walau hatusemi tumewafichia kabisa hzo Siri zenu.. Wananchi haturingi kabisa
Kuliwa ni kuliwa tyu.. Makolo tuwajua mnapunguza maumivu na history za maisha.. All in All Jana mmetafinwa kiboga.. nyie hamna Team Bali mna Squad na Mwaka huu hakuna mliachpambulia labda Lile kombe la dagaa kule Zenji🤣🤣Kwani as vita na Aly ahaly ni watani wa simba? Kwahiyo baada ya Yanga kushindwa kumfunga simba 5+ miaka yote umeamua kuipata furaha kutoka kwa wakongo na wa Misri yahe?
Ki uhalisia utopolo ndiye mhanga mkubwa wa vipigo vya mbwa mwizi
1977 simba 6 ,Yanga 0
1998 Raja casab 6 , Yanga 0
2012 simba 5 , Yanga 0
2020 simba 4 , Yanga 1
Asnte San mwananch mwezanguKwani mbona wewe kolo ulichomekwa tanotano kule Congo na Egypt na Jana umechomeka kimoko na Faisal halafu sie walau hatusemi tumewafichia kabisa hzo Siri zenu.. Wananchi haturingi kabisa
Narrow ameshajulikana kuwa ni weweLeo mayanga njaa mwenzenu kawa wa maana coz tumemtimua baada ya kumshtukia?..ilifika hatua mlimkashifu hadi juunya ulemavu wake wa ngozi leo kawa mzuri?..timu ianguke coz ya MSEMAJI?..narrow mind I can't argue.
Kolo hajawahi kutamba kama yanga iko imara. Wote wakiwa imara kolo hafurukuti.Mambo yanazid kuwa magum