Anguko la vijana wa kileo

Sure kabisa.

Unapata kitu ipo sealed na nembo yake, kabisa , Made in Germany sio made in kimboka
Hakuna ushindani wala msongo wa mawazo vile unataka awe anakuwa , cha muhimu ni kuishi aman na utulivu tu.
 
Hakuna ushindani wala msongo wa mawazo vile unataka awe anakuwa , cha muhimu ni kuishi aman na utulivu tu.
Hakika hata mzee wangu aliwahi kuniambia

Kosa kubwa utakalo fanya ni "kuanguka kimapenzi na kimapendo kupitiliza kwa mwanamke"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…