Anguko la vijana wa kileo

Anguko la vijana wa kileo

usipokua makini dunia ya leo kua na mtoto wa kike ni 70% hasara.

kuna mtu unakuta ana watoto 6 girls full set

very disappointment
Vise versa is true.

Hebu tengeneza sentensi yako igeuke Kwa mtoto wa kiume Karne na Karne inajulikana watoto wakike ni chombo Cha starehe Kwa mwanaume had kwenye vitabu vya din wanawake wanaojiuza walitajwa

Haya hebu tuambie hasara ya watoto wa kiume Kwa Sasa
Nina rafiki angu kipenzi ndoa Ina miez saba Sasa mwanaume anamwambia mim nilioa sababu ya presha ya wazaz ila mim Nina tumia jinsia kama yeye

Usimzungumzie mtoto wakike ilhal mtoto wakiume umemuweka kwenye kivul
 
Kuna babu yangu aliniambia enzi zao mwanamke akivaa sketi paja likaonekana anazua gumzo kwa vijana wa mtaa mzima.

Ilikua adimu sana kuona paja tu yaani!! 😆
 
watoto wa kiume wa dar ndo janga ila mkoani vijana wapo wanachapa kazi hawana mambo ya kifarauni mikoani huko mara mwamnza mbeya iringa moshi arusha manyara moro kagera hakuna ushoga
 
Vise versa is true.

Hebu tengeneza sentensi yako igeuke Kwa mtoto wa kiume Karne na Karne inajulikana watoto wakike ni chombo Cha starehe Kwa mwanaume had kwenye vitabu vya din wanawake wanaojiuza walitajwa

Haya hebu tuambie hasara ya watoto wa kiume Kwa Sasa
Nina rafiki angu kipenzi ndoa Ina miez saba Sasa mwanaume anamwambia mim nilioa sababu ya presha ya wazaz ila mim Nina tumia jinsia kama yeye

Usimzungumzie mtoto wakike ilhal mtoto wakiume umemuweka kwenye kivul
Hakika mkuu

Watoto wote haijalishi jinsia wanaweza kuwa hasara

Vijana wote wameharibika
 
Kuna babu yangu aliniambia enzi zao mwanamke akivaa sketi paja likaonekana anazua gumzo kwa vijana wa mtaa mzima.

Ilikua adimu sana kuona paja tu yaani!! 😆
Siku hizi sehemu za siri za mwanamke ni internal organs only. Figo, ini, mapafu na moyo.

Hivyo vingine ni kila kitu waziwazi.
 
Vise versa is true.

Hebu tengeneza sentensi yako igeuke Kwa mtoto wa kiume Karne na Karne inajulikana watoto wakike ni chombo Cha starehe Kwa mwanaume had kwenye vitabu vya din wanawake wanaojiuza walitajwa

Haya hebu tuambie hasara ya watoto wa kiume Kwa Sasa
Nina rafiki angu kipenzi ndoa Ina miez saba Sasa mwanaume anamwambia mim nilioa sababu ya presha ya wazaz ila mim Nina tumia jinsia kama yeye

Usimzungumzie mtoto wakike ilhal mtoto wakiume umemuweka kwenye kivul
Sawa
 
Back
Top Bottom