Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Taarifa zilizopo ni kuwa Anjela yupo Basata akipambana angalau kupata haki yake, hata hvyo mshale unaonekana atashindwa tuu, mana Harmonize hajatangaza kumfukuza kama alivyowafukuza wengine, pamoja na Yule mlamba mdomo yeye aliamua kukimbia kimya kimya.
Harmonize amemwambia Anjela Yuko huru kufanya mambo yake, na akihitaji msaada basi atamsaidia, at the same time, account zake zote za kidigital kondegang wamezipiga pin, hata Instagram Hana ubavu wa kupost chochote, kiufupi amefukuzwa kimya kimya, na achotakiwa ni kuanza upya, ..... Kuzipata million kumi za kutenguliwa mkataba kwake itakuwa ngumu sababu Harmonize hajatoa tamko public, ni kama amemtelekeza na kumkacha kimtindo.
Ushauri wangu namsihi aachane na Basata , akae chini atulie ,aanze upya naamini hawez kosa miambili au miatatu ya kuchanganyia mboga