Puncler
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 1,386
- 1,888
Kila nikikumbuka kilio cha Mmakonde pale airport nacheka tu na kuna mbuzi wasiojielewa walim-support, dogo ana roho mbaya,ana husda, hapendi mafanikio ya wengine na ni mnafiki.Mmoja wa mameneja Konde Gang ndugu Chopa anasema Anjella anatakiwa kununua mkataba wake kwa Tsh 1bilion,hiyo haitoshi pamoja na kulipa 1bilion,ila still nyimbo zote zilizo rekodiwa wakati akiwa Kondegang bado wataendelea kuchukua 55% kwenye mauzo kupitia Digital platforms.
Anatimua watu baada ya kuwapotezea muda bila ya kuwainua kuwafikisha kwenye viwango bora kama alivyofikishwa yeye alipokuwa WCB, anawasainisha wasanii wake mikataba ya masharti magumu kuliyo masharti ya mikataba aliyokuw akiilalamiki ya WCB.
-Konde genge fo everebadi.