Inavyoonekana binti Hana shida , boss tuu ameamua kutembeza safisha safisha pale , matumizi yamekuwa makubwa kuliko wanachoingiza , ukiacha harmonize wasanii wengine wa kondegang hamna wanachoingiza cha maana , Ila lazima wapate matumizi , inaonekana pia kulikuwa na mkono wa mfadhili ambao ni kama umekatika , mda huo huo boss yupo kwenye bata zito... !! Na yeye pesa anazotegemea Kwa asilimia kubwa ni za digital platforms , na shoo za hapa na pale , mana Hana endorsement wala kitega uchumi kinachoeleweka ....
Kaona isiwe tabu ni kutimua wote , ili ajitosheleze Kwa kile anachioingiza .... Some time nafkria ukiona WCB wamemsimamisha mtu , ujue wametumia nguvu hasa ..