Anjela anajihangaisha Tu pale BASATA

Anjela anajihangaisha Tu pale BASATA

Inawezekana kampuni inajiendesha kwa hasara; pesa zinapotea ambapo hazitakiwi kupotea, yaani haziendi/haziwekezwi kwenye maeneo ya uzalishaji.​
  • Atafute mtaalamu wa fedha na uwekezaji, amsimamie​
  • Mtu wa masoko; wa kumtafutia masoko ya nje na ya ndani​
  • Mpenzi abaki kuwa mpenzi tu; kwa sababu amekuja baada ya fedha kuwepo, kwa hiyo asitegemee miujiza ya mpenzi kuwa na upeo katika utafutaji.​
Nb: Waajiriwa watamshauri 'boss' anachotaka, atakama anapotea; muhimu wao wapate mkate wa siku / aajiri wataalamu watakao mshauri kitaalamu.​
 
Harmo ameanzisha label tu akaanza kusign wasanii, nani alishauri hili jambo? everything was a joke right? Tulisema na kusema, Harmo alihitaji resources both watu na pesa ili asimame yeye kama yeye ajabu akaanza sign wasanii wachanga na kiki za kuwabalasa WCB.

Haya watetezi wanafiki wakibongo mko wapi mumshauri kijana cha kufanya? Next time mheshimu biashara za watu, ukiona mtu amesimama na ametengeneza jina jua imemchukua vingi sana.

Harmo apambane awe stable kwanza kuja kusign watu imchukue hata 5years with mipango lukuki na execution yake.
Na hili ndio alibugi sana. Toka mwanzo sikuona uwezo wake wa kusimamia label. Angefanya muziki wake yeye kama yeye. Inaonekana mjomba nchumali mbishi sana. Sitaki kuamini kama hakushauriwa juu ya hilo.
 
Mmoja wa mameneja Konde Gang ndugu Chopa anasema Anjella anatakiwa kununua mkataba wake kwa Tsh 1bilion,hiyo haitoshi pamoja na kulipa 1bilion,ila still nyimbo zote zilizo rekodiwa wakati akiwa Kondegang bado wataendelea kuchukua 55% kwenye mauzo kupitia Digital platforms.
Kazi bado ni ngumu kwakweli
 
Ingekuwa WCB sasa hivi Wakazi huko twitter anatambaa na kuandaa mpaka mjadala wa masaa hata mawili, Mange Kimambe tena huko ndio hashikiki.

Ila Konde tena Cheed katoka kimya, Killy kimya na leo Anjella yupo BASATA.

Hapo utajua mtoto wa Tandale wanaomchukia hawana sababu ila tu wameamua kumchukia.

Naona na wao wameamua kuwa wanyonyaji.
Huu ndio ukweli sahihi
 
Back
Top Bottom