Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Hale imekuwa mbaya monooo..shedaaa sanaenaseketeshaaa sanaaaa... nikasikilize wimbo wa kioo
Inavyoonekana binti Hana shida , boss tuu ameamua kutembeza safisha safisha pale , matumizi yamekuwa makubwa kuliko wanachoingiza , ukiacha harmonize wasanii wengine wa kondegang hamna wanachoingiza cha maana , Ila lazima wapate matumizi , inaonekana pia kulikuwa na mkono wa mfadhili ambao ni kama umekatika , mda huo huo boss yupo kwenye bata zito... !! Na yeye pesa anazotegemea Kwa asilimia kubwa ni za digital platforms , na shoo za hapa na pale , mana Hana endorsement wala kitega uchumi kinachoeleweka .... Hii pia inamforce boss kutoa ngoma non stop ili kisima kisipungueAnjela alishauriwa na nan jaman hali yake ile nan angempokea ametoka mapema sana anafkr wapi atakaa ili asimame aisee binadam huwa hatuangalik tuliko toka aende akaendelee kuomba omba kama zaman
Amefukuzwa,hajatoka kwa kutaka. Kapigwa chini kinyemela ili asiweze kudai 10 million, angetoka kwa utashi wake angedaiwa 1 billion.Anjela alishauriwa na nan jaman hali yake ile nan angempokea ametoka mapema sana anafkr wapi atakaa ili asimame aisee binadam huwa hatuangalik tuliko toka aende akaendelee kuomba omba kama zaman
Mmakonde ndiyo analazimisha Kajala awe bosi, lawama zote zimuendee yeye.Tangia Kajala awekwe kuwa Manager wa Konde Music ndipo timuatimua iliposhamiri.
Kajala baki kwenye nafasi yako kama mpenzi mambo ya music mwachie mmakonde na management yake
Kwa show off njomba nchumali hapo kawezaInavyoonekana binti Hana shida , boss tuu ameamua kutembeza safisha safisha pale , matumizi yamekuwa makubwa kuliko wanachoingiza , ukiacha harmonize wasanii wengine wa kondegang hamna wanachoingiza cha maana , Ila lazima wapate matumizi , inaonekana pia kulikuwa na mkono wa mfadhili ambao ni kama umekatika , mda huo huo boss yupo kwenye bata zito... !! Na yeye pesa anazotegemea Kwa asilimia kubwa ni za digital platforms , na shoo za hapa na pale , mana Hana endorsement wala kitega uchumi kinachoeleweka ....
Kaona isiwe tabu ni kutimua wote , ili ajitosheleze Kwa kile anachioingiza .... Some time nafkria ukiona WCB wamemsimamisha mtu , ujue wametumia nguvu hasa ..
Ni kweli mkuuTangia Kajala awekwe kuwa Manager wa Konde Music ndipo timuatimua iliposhamiri.
Kajala baki kwenye nafasi yako kama mpenzi mambo ya music mwachie mmakonde na management yake
Sahih kbsa wakazinna kina sarungi wange andaa space kbsa kumjadili mondi ila kwa kuwa Ni konde wako kimyaIngekuwa WCB sasa hivi Wakazi huko twitter anatambaa na kuandaa mpaka mjadala wa masaa hata mawili, Mange Kimambe tena huko ndio hashikiki.
Ila Konde tena Cheed katoka kimya, Killy kimya na leo Anjella yupo BASATA.
Hapo utajua mtoto wa Tandale wanaomchukia hawana sababu ila tu wameamua kumchukia.
Naona na wao wameamua kuwa wanyonyaji.
Acha unafiki, lini ulimfahamu Anjela!!?? Labda awe jirani yako huko Kingugi.Hpn konde gang imezingua hata mwijaku leo amefafanua vzr tu ,konde gang wampe mtot wa watu nyimbobzake na account zake .kwani anjlea alikuwa tunamfahamu kbbla ya huyo konde kumuonaakiimbia huku mtaandaoni
Nilisikia Hanstone anasajiliwa Kondegang mda si mrefu, ngojea tuone.Harmo ameanzisha label tu akaanza kusign wasanii, nani alishauri hili jambo? everything was a joke right? Tulisema na kusema, Harmo alihitaji resources both watu na pesa ili asimame yeye kama yeye ajabu akaanza sign wasanii wachanga na kiki za kuwabalasa WCB.
Haya watetezi wanafiki wakibongo mko wapi mumshauri kijana cha kufanya? Next time mheshimu biashara za watu, ukiona mtu amesimama na ametengeneza jina jua imemchukua vingi sana.
Harmo apambane awe stable kwanza kuja kusign watu imchukue hata 5years with mipango lukuki na execution yake.
Vijana wengi wa kaskazini na hao feminist huko mitandaoni wanamchukia sana msela mpaka imekuwa noma since kwa career yake ya mziki ndo ana mafanikio ya kipesa kuliko iyo kanda yao nzima ...yaani jamaa hata time nao ila shobo kibao hata upe mda wa kuwajibu hana kabila..kama kile kembamba kana chuki mno yaani za waziwziSahih kbsa wakazinna kina sarungi wange andaa space kbsa kumjadili mondi ila kwa kuwa Ni konde wako kimya
Na sas HV namfata huko Twitter nimuulize. Kuhusu swala la anjlela na konde ganga
Baada ya kajala kutua konde gang mambo yamekuwa hovyo mno
Mondi anachukiwa Sana na watu wengi kisa mafanikioa yake
Umepiga msumariHarmonize ndiye anayeiua Konde gang, as a matter of fact Konde gang haijawahi kuwa hai tokea kuanzishwa kwake kwani kinachoifanya kupumua ni utimu tu wa mashabiki.
Mmoja wa mameneja Konde Gang ndugu Chopa anasema Anjella anatakiwa kununua mkataba wake kwa Tsh 1bilion,hiyo haitoshi pamoja na kulipa 1bilion,ila still nyimbo zote zilizo rekodiwa wakati akiwa Kondegang bado wataendelea kuchukua 55% kwenye mauzo kupitia Digital platforms.Joyce Kiria yupo wapii😝😝
Mwanamke mwenzio hajatimiziwa haki na malengo yake(si kimuziki walk kiafya)
Namuonea huruma sana huyu bint. Changes katika lebel yake imemuweka katika wakati mgumu sana kiakili na kiafya.
Umaskini na ukosefu wa elimu juu ya mikataba ya kimaslai ni pigo kwake.