Anjela anajihangaisha Tu pale BASATA

Inawezekana kampuni inajiendesha kwa hasara; pesa zinapotea ambapo hazitakiwi kupotea, yaani haziendi/haziwekezwi kwenye maeneo ya uzalishaji.​
  • Atafute mtaalamu wa fedha na uwekezaji, amsimamie​
  • Mtu wa masoko; wa kumtafutia masoko ya nje na ya ndani​
  • Mpenzi abaki kuwa mpenzi tu; kwa sababu amekuja baada ya fedha kuwepo, kwa hiyo asitegemee miujiza ya mpenzi kuwa na upeo katika utafutaji.​
Nb: Waajiriwa watamshauri 'boss' anachotaka, atakama anapotea; muhimu wao wapate mkate wa siku / aajiri wataalamu watakao mshauri kitaalamu.​
 
Na hili ndio alibugi sana. Toka mwanzo sikuona uwezo wake wa kusimamia label. Angefanya muziki wake yeye kama yeye. Inaonekana mjomba nchumali mbishi sana. Sitaki kuamini kama hakushauriwa juu ya hilo.
 
Kazi bado ni ngumu kwakweli
 
Huu ndio ukweli sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…