Anna Mghwira
R I P
- Mar 9, 2012
- 206
- 362
- Thread starter
-
- #41
Ninaomba kwa hili tuweke siasa kando, vijana wanateseka ni uhakika...tutajenga vipi nchi kama kila kitu ni siasa tu? Kuna maisha nje ya siasaNi Jambo zuri ila kama likipata taswira ya kisiasa tu litakwama
Kimsingi elimu ni kwa walewenye uwezo mdogo. Wenye uwezo mkubwa wanaweza kujisadia. Tulenge wenye uwezo mdogo, wasio na watu wa kuwalipia, nk...maan ahata wao wana mchango kwa pato la taifa, wakiwa na kitu cha kuzalisha.Hili ni wazo zuri sana mama, huu ni wakati muafaka kwa kila mtanzania kuachana mara moja na utamaduni wa kuchangia harusi na sherehe nyingine zisizokuwa na tija kwa taifa na kuhamia kwenye kuchangia elimu kwa Mtanzania kwa manufaa ya Tanzania ya baadae. Hakika wazo hili kama likipata msukumo unaostahili, tunaweza tusije kuzungumza tena hapa juu ya watoto wenye ufaulu wanaoshindwa kutimiza ndoto zao za kupata elimu ya juu. Pesa hii ikishakuwepo, itatolewa kwa walengwa on academic merits. Kulingana na kiasi kitakachokuwepo, itasetiwa cutoff point ya mtoto atakaekuwa eligible kupata hiyo scholarship.
Hapana Kididimo. Kwanza hili ni wazo langu. Ninajua madini na bidhaa zingine zipo lakini bado mikopo hakuna. Mimi sikusomakwa mkonge nk lakini hiyo iliwezesha vijana wengi kupata elimu kwa urahisi na umahiri mkubwa. Kulikuwa na hatua zake. Ninaendkeza hizi maana kodi ya madini nk hatujui inafanya kazi zipi, taarifa zetu si wazi wakati wote.Nimesoma kwa Umakini mkubwa thread yako kuhusu mikopo ya Elimu ya juu. Sijafurahishwa na motive yako! Utanisamehe! Mwalimu Nyerere,Baba wa Taifa,alikusomesha kipindi pato la Taifa likitegemea Mkonge,Kahawa,Pamba,Paretonk. Kwa uwiano wa pato la Taifa na mahitaji,fedha ilitosheleza usomeshwe bure bila harambee za mama au bibi zetu!
Leo,mapato ya nchi hayategemei sana mazao hayo,bali tuna migodi ya madini,makampuni ya mawasiliano,mikopo,grants,wasomi,uvuvi na mengineyo chungu tele!
Kama mwanasiasa mahiri,na mama,dada yetu,ungeanzia hapo kuhoji kulikoni tumekwamia wapi? Ninaamini una nia njema,ila kabla wake zetu,shangazi zetu hawajaanza kuchangia wazo lako,tueleze au tuelimishe tumekwamia wapi? Ukiwa kama kipepeo kuchagua uwa la kuanzia kurukia kwa sababu tu ya rangi au upepo umekusukumia hapo,jamii haitakuelewa vizuri.
Maisha ni magumu, kodi tunalipa lakini viongozi hawana priorities. Unanunuaje ndege huna dawa. Unajengaje airport chato huna hela za mikopo ya elimu ya juu. Ishu kubwa ni prioritie na wananchi tukiona serikali iko kinyume na sisi nani atasaidia? Nchi jirani wanapambana na baa la njaa sisi bei hazishikiki na haturuhusiwi kusema kitu. Unadhani mtu mwenye machungu moyoni kiasi hicho atachanga?Hapana Kididimo. Kwanza hili ni wazo langu. Ninajua madini na bidhaa zingine zipo lakini bado mikopo hakuna. Mimi sikusomakwa mkonge nk lakini hiyo iliwezesha vijana wengi kupata elimu kwa urahisi na umahiri mkubwa. Kulikuwa na hatua zake. Ninaendkeza hizi maana kodi ya madini nk hatujui inafanya kazi zipi, taarifa zetu si wazi wakati wote.
Kama tunachangia harusi nk, uchangie elimu pia kisha tuidai serikali kutuoa mrejesho wa mapato mengine. Matuizi ni mengi na hata micango hii haitamaliza changamoto zote.
Asante mama, sasa nimekuelewa vizuriHapana Kididimo. Kwanza hili ni wazo langu. Ninajua madini na bidhaa zingine zipo lakini bado mikopo hakuna. Mimi sikusomakwa mkonge nk lakini hiyo iliwezesha vijana wengi kupata elimu kwa urahisi na umahiri mkubwa. Kulikuwa na hatua zake. Ninaendkeza hizi maana kodi ya madini nk hatujui inafanya kazi zipi, taarifa zetu si wazi wakati wote.
Kama tunachangia harusi nk, uchangie elimu pia kisha tuidai serikali kutuoa mrejesho wa mapato mengine. Matuizi ni mengi na hata micango hii haitamaliza changamoto zote.
Transcend,Mama Anna;
Umetoa wazo zuri sana! Umetoa mwelekeo..!
Humu najua watu wataliunga mkono kwa maneno tuu na pongezi kwa wazo zuri..
Nilifikiri huu wito ungefanya event kabisa ili uliadress vizuri..either uitishe Press au kitu kama fundraising na kuwaalika watu wote walengwa..
Humu kuna members kama 400,000 hivi...bado tunataka ifike kwa watu zaidi hata watu 24milion ambao ni nusu ya Population yetu...
Ikiwezekana zihusishwe Taasisi tuu, watu binafsi na NGOs ! Serikali ikae pembeni manake wataleta siasa..! Hili suala wameshindwa kwa sababu watu wako after political gain..
Leo tukishindwa kusomesha hiki kizazi..miaka 50 ijayo hili taifa litapotea kabisa..
[HASHTAG]#Elimukwanza[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Uzalendokwanza[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Mikopo[/HASHTAG] elimu ya juu
Amina! Kila la kheri! AndTranscend,
Asante kwa wazo lako. Nitarudi na mrejesho!
Unajua kama sisi tuliopo hapa tu tungechanga elfu moja tu kwa watu laki 4 tungepata milioni 400,000, 000.00 kamii za kuanzia. Hizi zingekopesha wanafunzi zaidi ya wanafunzi 200+ wangeweza kupatamopo wa m2 kila moja moja. mfuko ukianza, utartibu utakuwa tofauti na ninaamini watu zaidi, tasisi nk, zitaweza kuchangia zaidi. Niko safari nikirudi tutawasiliana. Asante sanaMama Anna;
Umetoa wazo zuri sana! Umetoa mwelekeo..!
Humu najua watu wataliunga mkono kwa maneno tuu na pongezi kwa wazo zuri..
Nilifikiri huu wito ungefanya event kabisa ili uliadress vizuri..either uitishe Press au kitu kama fundraising na kuwaalika watu wote walengwa..
Humu kuna members kama 400,000 hivi...bado tunataka ifike kwa watu zaidi hata watu 24milion ambao ni nusu ya Population yetu...
Ikiwezekana zihusishwe Taasisi tuu, watu binafsi na NGOs ! Serikali ikae pembeni manake wataleta siasa..! Hili suala wameshindwa kwa sababu watu wako after political gain..
Leo tukishindwa kusomesha hiki kizazi..miaka 50 ijayo hili taifa litapotea kabisa..
[HASHTAG]#Elimukwanza[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Uzalendokwanza[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Mikopo[/HASHTAG] elimu ya juu
Alright! This sounds positive!Unajua kama sisi tuliopo hapa tu tungechanga elfu moja tu kwa watu laki 4 tungepata milioni 400,000, 000.00 kamii za kuanzia. Hizi zingekopesha wanafunzi zaidi ya wanafunzi 200+ wangeweza kupatamopo wa m2 kila moja moja. mfuko ukianza, utartibu utakuwa tofauti na ninaamini watu zaidi, tasisi nk, zitaweza kuchangia zaidi. Niko safari nikirudi tutawasiliana. Asante sana
Ni kweli na ukizingatia teknolojia ya mambo ya kifedha imekua,Aliye Njombe au Kyerwa anaweza kushiriki. Mama,nashauri angalia zaidi mnaoendana kimawazo,ndo uwashirikishe kimkakati kwenye Menejiment ya usimamizi. Ukitaka tuwapendekeze, tuko tayari,tunawajua. Otherwise,nakutakia kila la heri.Alright! This sounds positive!
Then, naamini tayari una watu ambao wanafanya analysis na kuweka mipango ya mawazo ambayo unayapata hapa...
Weka mpango kazi mezani ili ukishaanza utekelezaji inakuwa ni rahisi kuwaeleza watu ambao humu hawapo lakini tunaamini watakuwa na moyo wa kuinua Elima kama wewe.
Uwe na safari njema.
You have our support...!
Kimsi
Kimsingi elimu ni kwa walewenye uwezo mdogo. Wenye uwezo mkubwa wanaweza kujisadia. Tulenge wenye uwezo mdogo, wasio na watu wa kuwalipia, nk...maan ahata wao wana mchango kwa pato la taifa, wakiwa na kitu cha kuzalisha.
POINT! Kuna contradictions nyingi ambazo ufumbuzi wake utahitaji mawazo sahii ya wananchi na wadau kama Mama yetu mleta post. Issue,wataongelea wapi? Nani ataratibu? Na kwa ruhusa ya nani? Ninaona Mawaziri ndo wameachiwa na system kuamua kila kitu. Mfano, unasema Versity waende Div 1 na 2. Hao wote wametokana zaidi na shule za private ambao kwa vigezo hawatapewa mikopo. Ni watoto wa matajiri! Mama kaja JF,tumwunge mkono. Na naomba aunganishe wenye maono kama yeye Ulimwenguni kote,waunge mkono hoja yake.Shida ya hiyo approach mama, ni changamoto ya namna bora na effective ya kuweza kuestablish uwezo mdogo wa kiuchumi. Ni namna gani tuta define uwezo mdogo wa kiuchumi na tuta evaluate vipi. Changamoto hii wameendelea kukumbana nayo HESLB na kutokana na subjectivity ktk kuamua, watumishi wasio waaminifu wametumia kama namna ya kujipatia pesa kwa kupitia rushwa. Lakini, ikiwekwa kigezo cha ufaulu, basi awe mtoto wa masikini, awe mtoto wa tajiri, basi ajitahidi ili aweze kumeet kigezo cha kupata huo mkopo/ufadhili.