Anna na Lucy DeCinque ni mapacha "waliokithiri" kwa kufanana

Anna na Lucy DeCinque ni mapacha "waliokithiri" kwa kufanana

Joined
Jul 30, 2018
Posts
41
Reaction score
75
Anna na Lucy DeCinque ni mapacha "waliokithiri". Dada hao wenye umri wa miaka 35 kutoka Perth, Australia, wanajiona kuwa "mtu mmoja" na wanasisitiza "kufanana" kwa kila njia - ikiwa ni pamoja na mchumba wao wa pamoja mwenye umri wa miaka 37, Ben Byrnes, ambaye wanasisitiza kulea naye watoto wanaishi na mpenzi wao nyumba moja na kulala kitanda kimoja.


mapacha.png
 
We umeshawahi waona Dr Eliamani na Dr Elifuraha Laiteka
Inasemekana hawa wamefanya upasuaji ili waonekane kufanana zaidi mpenzi wao Ben amesema wanakula mlo moja kwa siku na kufanya mazoezi kwa masaa sita kwa siku wasipofanya mazoezi wanapata stress

Hawa bhana kuna kitu wametofaitiana bwana lucky boy Ben kaamua kuvunga tu😁😁
 
Back
Top Bottom