Chief nduna songea
Member
- Jul 30, 2018
- 41
- 75
Anna na Lucy DeCinque ni mapacha "waliokithiri". Dada hao wenye umri wa miaka 35 kutoka Perth, Australia, wanajiona kuwa "mtu mmoja" na wanasisitiza "kufanana" kwa kila njia - ikiwa ni pamoja na mchumba wao wa pamoja mwenye umri wa miaka 37, Ben Byrnes, ambaye wanasisitiza kulea naye watoto wanaishi na mpenzi wao nyumba moja na kulala kitanda kimoja.