Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Wapinzani hawahawa waliopo kwenye payroll ya CCM! Tutasubiri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tilipu hii watake wasitake watamtangaza MH LISUMwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Anna Tibaijuka, ametoa pole kwa familia ya aliekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa.
"Familia Lowassa poleni. Taifa twaomboleza kifo cha Kiongozi STATESMAN. Nilishuhudia ukiweka maslahi ya nchi mbele ya yako. Jina lilipokatwa nilikushauri ubaki CCM kimfumo uwezekano kutangazwa mshindi ukitokea upinzani HAUPO Ukanijibu "UNAJUA ila hutaki MANYANYASO kuendelea. RIP" - Anna Tibaijuka
View attachment 2900766
Written by Mjanja M1 ✍️
Wamepanga sana nani awe mrithi. Ila kila zama hakuna liyefanikiwa kutinga ikulu. Mwinyi aliingia ndivyo sivyo, akaletwa Mkapa kwa Mbeleko ya Nyerere, Sumaye hakuamini JK alivyoingia, Magufuli kikawa kama kifurushi kutoka juu, Samia wakajiuliza kumbe katiba ina tobo kubwa kiasi hiki? Tujiandae!Huu ndio ukweli mchungu ambao unawatesa upinzani.
Tusahau #KatibaMpya ya wananchi (version ya mzee Warioba).
Ni kuweli kwamba kuna familia za wakubwa zilikuwa zimepanga tangu kipindi cha MMshua wa MMsoga kupeana vijiti kwenye uRais.
Mambo yaliharibika baada ya kusalitiana. Aliyeshinda 2015 nae akaanza kupanga mstari wake wa kurithishana uRais, bahati mbaya mipango ikaishia njiani baada ya kutwaliwa.
Baada ya kuingia mama pande hizi mbili (msoga vs chato) zinasigana haijulikani kitakachotokea. Tuwaombee tu wenye uchu wa madaraka wasimalizane.
Unahakika lisu atagombea?Tilipu hii watake wasitake watamtangaza MH LISU
Katumbua jipu, hapo vyama vya upinzani ndipo mjue mnapuyanga tu kuonesha watoa misaada kuna mageuzi but ndani huko ni uongo mtupu!.
Viongozi wa vyama vya upinzani wanatambua sintofahamu hiyo, lakini ni wananchi ndiyo wanaoweza kuwapa nguvu ili haki za mpiga kura ziheshimiwe.Unadhani hawajui wanajua ila kuna ruzuku ndio target kubwa kwa vyama vya upinzani kwa sasa they are not serious..
Mwamini Mungu pekee.mimi nakiamini chama cha mapinduzi
Hukumuona Samiah anamlilia CDF aingilie kati ichaguzi wa 2025?Sasa unangoja nini kuleta hayo machafuko?
Punguza unafiki wewe. CHADEMA wanapoandamana mnabaki kuhesabu mahudhurio, ooh watu sio wengi. Halafu Sasa hivi unabadilisha maneno kuwa vyama vya Upinzani havipo serious. Very stupid.Unadhani hawajui wanajua ila kuna ruzuku ndio target kubwa kwa vyama vya upinzani kwa sasa they are not serious..
Payroll ipi?. Msipende kuongea kisa mpo nyuma ya keyboard. Nenda kwenye ground Kama huwezi Kaa kimya. CHADEMA wakiitisha maandamano mnakaa Kama wanafiki kuangalia yasifanikiwe, halafu Leo unaongea ujinga eti pay roll, unaijua pay roll au unaropoka.Wapinzani hawahawa waliopo kwenye payroll ya CCM! Tutasubiri sana
Tibaijuka is so wrong for distracting the conversation from mourning to an overly controversial topic, complete with Lowassa's words, when Lowassa is not even here to clarify his side.Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Anna Tibaijuka, ametoa pole kwa familia ya aliekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa.
"Familia Lowassa poleni. Taifa twaomboleza kifo cha Kiongozi STATESMAN. Nilishuhudia ukiweka maslahi ya nchi mbele ya yako. Jina lilipokatwa nilikushauri ubaki CCM kimfumo uwezekano kutangazwa mshindi ukitokea upinzani HAUPO Ukanijibu "UNAJUA ila hutaki MANYANYASO kuendelea. RIP" - Anna Tibaijuka
View attachment 2900766
Written by Mjanja M1 ✍️
NIKO BEGA KWA BEGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI NDUGUMwamini Mungu pekee.
Weeewee! Lowasa asingeliweza kipambana na jiwe!huo ndio ukweli.... za lowassa akapewa jiwe za jiwe akapewa lowassa, na huwez enda mahakama yoyote itayotengua uchaguzi wa raisi.. bila katiba mpya ccm itatawala milele hata ichukiwe na dunia nzima.
Duh 🙄 !Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Anna Tibaijuka, ametoa pole kwa familia ya aliekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa.
"Familia Lowassa poleni. Taifa twaomboleza kifo cha Kiongozi STATESMAN. Nilishuhudia ukiweka maslahi ya nchi mbele ya yako. Jina lilipokatwa nilikushauri ubaki CCM kimfumo uwezekano kutangazwa mshindi ukitokea upinzani HAUPO Ukanijibu "UNAJUA ila hutaki MANYANYASO kuendelea. RIP" - Anna Tibaijuka
View attachment 2900766
Written by Mjanja M1 ✍️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hukumuona Samiah anamlilia CDF aingilie kati ichaguzi wa 2025?