Pre GE2025 Anna Tibaijuka: Kimfumo uwezekano wa kutangazwa mshindi ukitokea upinzani haupo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa kwanini tupoteze mihela kwenye chaguzi, si twende tu na mfumo....
Nyerere alishauri kuwa upinzani Bado sana kushika uraisi wajitahidi kugombea ubunge na udiwani na uongozi wa serikali za mitaaa

Kama walishindwa kushika uraisi 2015 hawaji shika Tena Hata Lowasa mwenyewe alisema hivyo kuwa tukishindwa safari hii upinzani sio Tena kuja kushinda
 
Mafisadi wawili wakipeana ushauri
 

Halafu kuna mtu anadai kuwa kaja na R4 ..... Seriously!!!
 
Katumbua jipu, hapo vyama vya upinzani ndipo mjue mnapuyanga tu kuonesha watoa misaada kuna mageuzi but ndani huko ni uongo mtupu!.
wakina nani wajue? Mnakuwaga wajinga sana, nyie ndio Makonda anawapenda
 
Nawaombea sana wote wamalizane. Naomba MUNGU anisikie. Ingeanza na ile ajali ya juzi ingemaliza yule kwanza,wafuate wengine kijani. Nchi ina kila aina ya rasimali imefukalishwa na hawa kijani. Bahati mbaya pamoja na ulafi wao hawataki mtoto yoyote wa masikini ainuke kupitia biashara halali. Wametengeneza chombo kama cha kukusanya kodi,lakini kiuhalisia ni kumkandamiza mfanyabiashara mdogo na wa kati asiinuke.
 
huyu mama ana mawe aisee, au anataka kurudi mwaka kesho? amekuwa mzalendo sana siku hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…