Anna Tibaijuka: Ndugai aliniambia kwamba suala la Lissu ni “Maelekezo”

Kwa nini atii maelekezo haramu Kwa sababu ya tumbo?

Mnafukua makaburi ya Chato 🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu racism itakuua, hebu fikiria mara mbili
Racism ya wapi na Mimi ni WA Bara? Nyie Suku gang na Chadomo mnakubaliana kwamba wa kutoka Zenj ndio roho mbaya watanganyika ni safi kabisa 🤣🤣🤣🤣
 
Tangu Anna akose uwaziri na ubunge amekuwa mtu wa ajabu ajabu ni mali zake tu zinazomfanya aendelee kuwa hapa nchini anesgakimbia na kuwa kama Mange kimambi

USSR
Alikosa ubunge au aliacha mwenyewe kugombea?
 
LISSU ALIKENGEUKA NA CHADEMA WAKAANZA KUWATETEA KIMA ROSTAM AZIZI NA SINGASINGA NA MAPONJORI NA WEZI MABEBERU YA MADIN9 HADI MSEMO MAARUFU W 👉TUTASHITAKIW MIGA UKAIBUKQ ZOTE HIZO ZILIKUW JUHUDI ZA LISSU KUWAPIGANIA MAFISADI ...HIVYO YANAYO MKUTA LISU LEO NI LAANA YA KUKUFURU UZALENDO WA JPM KWA WATANZANIA....KUHUSU KOFO CHA NDUGAI KUSHANGILIWA WALIOSHANGILIA NI MAADUI WA WANANCHI NA UZALENDO...HAKUNA MZALENDO WA KUSHANGILIA KIFO JA NDUGAI HAYO YALIYO TOKEWA NI MIOANGO ILIYO SUKWA ILI KUONYESHA WAZALENDO AWAKUBALIWI NA WATANZANIA JAMBO AMBALO SIYO KWELI HATA KWA ASILIMIA 4%
 
Kusubiri mtu afe ndipo useme ni ujuha. Unaweza kusema chochote kwasababu verification is impossible!
 
Racism ya wapi na Mimi ni WA Bara? Nyie Suku gang na Chadomo mnakubaliana kwamba wa kutoka Zenj ndio roho mbaya watanganyika ni safi kabisa 🤣🤣🤣🤣
Binadamu wote si bara si visiwani wote ni sawa japo tuvumiliane Kwa mapungufu madogo madogo
 
Now yupo korokoroni na Kesi inapigwa danadana, Jaji mkuu, Nao wakifa tutajua ni maelekezo au ni sheria inachukua mkondo wake.
 
Kujifunza sio vibaya...Tuna muhimili mitatu lakini kuna muhimili mmoja unanguvu kuliko mingine hyo mingine imewekwa kama geresha...Tutafika tukiwa na viraka nyuma...!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…