Anna Tibaijuka: Ndugai aliniambia kwamba suala la Lissu ni “Maelekezo”

Spika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?. Utasemaje hujui alipo?Spika akanieleza kwa utulivu yafuatayo ambayo IN HIS TRIBUTE (kama heshima kwake) ninayaweka wazi.

Labda yatasaidia kumuelewa kwa waliokerwa na kauli zake za mizaha (dry humor). Ndugai aliniambia "Mama ni Maelekezo. MimI nilichofanya kama Spika ni kujaribu kuokoa maisha yake kwa kumkimbiza Nairobi kutibiwa. Wengine walitaka apelekwe Muhimbili. Hatukuwa na bajeti. CHADEMA hawakuwa na fedha kulipia ndege.

Nikamuomba Mbunge wa CCM mhe Turku (RIP) alipie tutamrefund". Akaendelea "Mama Lissu ni mwanasiasa. Akipona atarejea kupambana kadri Mungu atakavyomjalia. Kwa sasa ninakuwa na tahadhari kusurvive katika siasa ngumu za maelekezo huku naongoza muhimili" .

Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Sikuwa na la kusema zaidi. Nikajua tuna safari ndefu kama taifa. Jamii haitaki kuangalia misingi ya matatizo yetu kimfumo. Tunabaki kulaumu viongozi (personalities) kana kwamba wana freedom kutekeleza majukumu yao. Mfano Utakuta mbunge analaumiwa kwa kutojenga shule, hospitali, barabara. Kwani hiyo si kazi ya Serikali kuu na Halmashauri wanaotoza kodi?

Tusimlaumu Ndugai kwa mambo yaliyokuwa ya mfumo. Alipokosea Mungu amsamehe lakini kuna mazuri Mengi alifanya. Apumzike kwa amani.

View attachment 3435096
Haka ka mama huwa kana macho madogo kama ya senene
 
Hakuna kusafishana kwanini hajasema mwenyewe. Tusianze kuonea huruma za kinafiki. Ishini kwa kutenda haki bila hivyo ndiyo hizo drama na aibu za watu kushangilia vifo.
 
Mtazamo wake yeye Tibaijuka.

Kwamba tusiwalaumu viongozi.

Ndugai lived and dies in infamy.

Despicable former speaker
 
Majuto ni mjukuu bado huyu mwanamke aliyelaniwa kutoka kizimkazi, ambaye maadui zake huwafunga jera na kuwafiiilaa
Mwenye laana Kawa rais wako
Hata mm naitaji laana kama hio 🤣
 
Ila alinifurahisha alipomtandika rungu la kichwa yule mgombea mwenzake hadi akazimia, job alikuwa anatembea na rungu kbbk.
 
Spika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?. Utasemaje hujui alipo?Spika akanieleza kwa utulivu yafuatayo ambayo IN HIS TRIBUTE (kama heshima kwake) ninayaweka wazi.

Labda yatasaidia kumuelewa kwa waliokerwa na kauli zake za mizaha (dry humor). Ndugai aliniambia "Mama ni Maelekezo. MimI nilichofanya kama Spika ni kujaribu kuokoa maisha yake kwa kumkimbiza Nairobi kutibiwa. Wengine walitaka apelekwe Muhimbili. Hatukuwa na bajeti. CHADEMA hawakuwa na fedha kulipia ndege.

Nikamuomba Mbunge wa CCM mhe Turku (RIP) alipie tutamrefund". Akaendelea "Mama Lissu ni mwanasiasa. Akipona atarejea kupambana kadri Mungu atakavyomjalia. Kwa sasa ninakuwa na tahadhari kusurvive katika siasa ngumu za maelekezo huku naongoza muhimili" .

Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Sikuwa na la kusema zaidi. Nikajua tuna safari ndefu kama taifa. Jamii haitaki kuangalia misingi ya matatizo yetu kimfumo. Tunabaki kulaumu viongozi (personalities) kana kwamba wana freedom kutekeleza majukumu yao. Mfano Utakuta mbunge analaumiwa kwa kutojenga shule, hospitali, barabara. Kwani hiyo si kazi ya Serikali kuu na Halmashauri wanaotoza kodi?

Tusimlaumu Ndugai kwa mambo yaliyokuwa ya mfumo. Alipokosea Mungu amsamehe lakini kuna mazuri Mengi alifanya. Apumzike kwa amani.

View attachment 3435096
Yataje hayo mazuri, na huo mfumo mbona G55 walifanya Yao, Jaji Warioba Vs Sheria ya uhujumu uchumi, Mtei na mkopo ya IMF
 
Mama Tibaijuka kwanza arudishe zile pesa za mboga alizochukua yeye na Karamagi hapo tutamuelewa.
 
Wakati watu wapo bize kuwalaumu watu Mimi kwa akili zangu timamu nailaumu ccm.
Nahisi kama chama hawajui na mapinduzi yepi yanahitajika Tanzania.
Wamepindua kila lililojema kwa kuingiza maovu!
 
1) unafaataje maelekezo mtu mzima na Sheria zinakulinda Leo siamekufa

2) tibaijuka kaboronga wao wabunge wakati wa kuomba ridhaa huhadaa wananchi kwamba watajenga barabara ,zahanati,shule na n.k swali lakuniuliza hawajuagi wanadanganya na hawana hela
 
Unapewa mamelekezo ya kijinga na yenye chuki namna hii na wewe unayakubali? Nadhani hapa badala ya kumsafisha Ndugai amezidi kuonyesha kuwa alikuwa hafai hata kidogo.
Tukiweka assumption kuwa Tibaijuka kasema kweli, kuna mazuri ndani ya kukiri kwake ila inategemea tu unalitazama tukio kwa angle ipi.

1. Aliamua kumkimbiza Nairobi kutibiwa badala ya mhimbili kama ilivyotakiwa na wengine.

2. Aliamua kutafuta njia mbadala ya kifedha kwa kumuomba Mbunge wa CCM mhe Turku (RIP) alipie gharama maana bunge, serikali wala CHADEMA hawakuwa na bajeti.

3. Alikuwa na hope kuwa TAL atapona na atarudi kupambania haki yake na ikawa hivyo.

Hata hivyo, kwanini alikubali maelekezo, anajua yeye na MUNGU wake. Alifanya/Hakufanya nini nyuma ya pazia ili kuokoa maisha ya TAL, anajua yeye na MUNGU wake.

Wa kumhukumu waendelee kumhukumu. Wanaomfahamu kwa mazuri yake waomboleze kwa jina kake.

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.
 
Spika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?. Utasemaje hujui alipo?Spika akanieleza kwa utulivu yafuatayo ambayo IN HIS TRIBUTE (kama heshima kwake) ninayaweka wazi.

Labda yatasaidia kumuelewa kwa waliokerwa na kauli zake za mizaha (dry humor). Ndugai aliniambia "Mama ni Maelekezo. MimI nilichofanya kama Spika ni kujaribu kuokoa maisha yake kwa kumkimbiza Nairobi kutibiwa. Wengine walitaka apelekwe Muhimbili. Hatukuwa na bajeti. CHADEMA hawakuwa na fedha kulipia ndege.

Nikamuomba Mbunge wa CCM mhe Turku (RIP) alipie tutamrefund". Akaendelea "Mama Lissu ni mwanasiasa. Akipona atarejea kupambana kadri Mungu atakavyomjalia. Kwa sasa ninakuwa na tahadhari kusurvive katika siasa ngumu za maelekezo huku naongoza muhimili" .

Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Sikuwa na la kusema zaidi. Nikajua tuna safari ndefu kama taifa. Jamii haitaki kuangalia misingi ya matatizo yetu kimfumo. Tunabaki kulaumu viongozi (personalities) kana kwamba wana freedom kutekeleza majukumu yao. Mfano Utakuta mbunge analaumiwa kwa kutojenga shule, hospitali, barabara. Kwani hiyo si kazi ya Serikali kuu na Halmashauri wanaotoza kodi?

Tusimlaumu Ndugai kwa mambo yaliyokuwa ya mfumo. Alipokosea Mungu amsamehe lakini kuna mazuri Mengi alifanya. Apumzike kwa amani.

View attachment 3435096
Huyu fisadi aliyeita milioni 10 hela ya mboga naye ameanza kuwashwa.
 
Anaongea hivyo kwasababu Magufuri alishakufa angekuwa hai asingethubutu kusema haya, sasa hivi Samia naye anapita mulemule alipopita Magu na hakuna anayejitokeza kumkemea mnaaubiri mpaka afe ndio mjitokeze kama panya mashimoni
 
Hivi serekali inakosa helaaa....sikuwai kujua hili
 
Ali
Majuto ni mjukuu bado huyu mwanamke aliyelaniwa kutoka kizimkazi, ambaye maadui zake huwafunga jera na kuwafiiilaa
Km ni laana aliyelaaniwa ni mamako we mbwa koko, Rais anatimiza wajibu unajijambia hapo kwa kuwa Rais anakulinda. Mamako asingekuwa na laana usingekuwa unajificha km msukule nyuma ya JF ungeonekana ukijenga Taifa. Kuongoza Taifa siyo lelemama, huwezi kucheka na wahuni km kina Lissu, yakinuka kweli mtasema tena Rais gani huyu, hawezi kuongoza nchi. Nyie wapumbavu ni wa kupuuzwa
 
Racism ya wapi na Mimi ni WA Bara? Nyie Suku gang na Chadomo mnakubaliana kwamba wa kutoka Zenj ndio roho mbaya watanganyika ni safi kabisa 🤣🤣🤣🤣
Lipo jambo litatokea, kila mtu atabaki kinywa wazi.
 
Tukiweka assumption kuwa Tibaijuka kasema kweli, kuna mazuri ndani ya kukiri kwake ila inategemea tu unalitazama tukio kwa angle ipi.

1. Aliamua kumkimbiza Nairobi kutibiwa badala ya mhimbili kama ilivyotakiwa na wengine.

2. Aliamua kutafuta njia mbadala ya kifedha kwa kumuomba Mbunge wa CCM mhe Turku (RIP) alipie gharama maana bunge, serikali wala CHADEMA hawakuwa na bajeti.

3. Alikuwa na hope kuwa TAL atapona na atarudi kupambania haki yake na ikawa hivyo.

Hata hivyo, kwanini alikubali maelekezo, anajua yeye na MUNGU wake. Alifanya/Hakufanya nini nyuma ya pazia ili kuokoa maisha ya TAL, anajua yeye na MUNGU wake.

Wa kumhukumu waendelee kumhukumu. Wanaomfahamu kwa mazuri yake waomboleze kwa jina kake.

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.
Kwa taarifa yako: Lissu alipokuwa anakimbizwa Nairobi wengi hawakuwa wamejua ni nini hasa kinaendelea na aliyetuma auawe alikuwa hajui kama itafikia hatua ya kukimbizwa hospital hivyo hakuwa ameandaa mkakati wa kukataza watu wasimkimbize hopaital. Yaani ni hivi: Magu alivyopanga ni kuwa alikuwa na uhakika Lissu atauawa pale pale. Hivyo basi hakuwa ameandaa mkakati wowote wa kuhakikisha hafikishwi hospital tena Nairobi. Kwa hiyo unaweza kusema kabisa kama angekuwa amepewa amri kabla kuwa asitoe msaada wowote wa kumpeleka hospital basi angetii.
 
Back
Top Bottom