DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Hakuna lolote huyo asafishiki hakuwa MTU mzuri
Je gharama ya Ndege iliweza kuwa Kama kiasi gani ya kumuaisha lissu Nairobi?.Kwa taarifa yako: Lissu alipokuwa anakimbizwa Nairobi wengi hawakuwa wamejua ni nini hasa kinaendelea na aliyetuma auawe alikuwa hajui kama itafikia hatua ya kukimbizwa hospital hivyo hakuwa ameandaa mkakati wa kukataza watu wasimkimbize hopaital. Yaani ni hivi: Magu alivyopanga ni kuwa alikuwa na uhakika Lissu atauawa pale pale. Hivyo basi hakuwa ameandaa mkakati wowote wa kuhakikisha hafikishwi hospital tena Nairobi. Kwa hiyo unaweza kusema kabisa kama angekuwa amepewa amri kabla kuwa asitoe msaada wowote wa kumpeleka hospital basi angetii.
Kila nafsi itamnenea mazuri Lisu mtu innocent kabisa Kwa taifaSpika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?. Utasemaje hujui alipo?Spika akanieleza kwa utulivu yafuatayo ambayo IN HIS TRIBUTE (kama heshima kwake) ninayaweka wazi.
Labda yatasaidia kumuelewa kwa waliokerwa na kauli zake za mizaha (dry humor). Ndugai aliniambia "Mama ni Maelekezo. MimI nilichofanya kama Spika ni kujaribu kuokoa maisha yake kwa kumkimbiza Nairobi kutibiwa. Wengine walitaka apelekwe Muhimbili. Hatukuwa na bajeti. CHADEMA hawakuwa na fedha kulipia ndege.
Nikamuomba Mbunge wa CCM mhe Turku (RIP) alipie tutamrefund". Akaendelea "Mama Lissu ni mwanasiasa. Akipona atarejea kupambana kadri Mungu atakavyomjalia. Kwa sasa ninakuwa na tahadhari kusurvive katika siasa ngumu za maelekezo huku naongoza muhimili" .
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Sikuwa na la kusema zaidi. Nikajua tuna safari ndefu kama taifa. Jamii haitaki kuangalia misingi ya matatizo yetu kimfumo. Tunabaki kulaumu viongozi (personalities) kana kwamba wana freedom kutekeleza majukumu yao. Mfano Utakuta mbunge analaumiwa kwa kutojenga shule, hospitali, barabara. Kwani hiyo si kazi ya Serikali kuu na Halmashauri wanaotoza kodi?
Tusimlaumu Ndugai kwa mambo yaliyokuwa ya mfumo. Alipokosea Mungu amsamehe lakini kuna mazuri Mengi alifanya. Apumzike kwa amani.
View attachment 3435096
Kwani wewe ni punguani usiyeweza kujua nini KINGEMPATA?Ingependeza kama Prof angeyasema hayo kwenye msiba wa Shujaa siyo sasa 🐼
Kwani huyu wa sasa anaendeshaje?Magu alikuwa anaendesha nch km familia yake.yule dingi alikuwa na roho mbaya arifu
Ndege iliyompeleka Tundu Lissu tundu (air‑lift) kwenda Nairobi ililipiwa kwa thamani ya dola za Marekani 9,200.Je gharama ya Ndege iliweza kuwa Kama kiasi gani ya kumuaisha lissu Nairobi?.
Mbona ni hela ndogo Sana, hoja ya Tibaijuka ni ujinga tuNdege iliyompeleka Tundu Lissu tundu (air‑lift) kwenda Nairobi ililipiwa kwa thamani ya dola za Marekani 9,200.
Hayo yalitangazwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai, akisema ndege iliyohusishwa ilikuwa imeombewa na mbunge wa CCM, Bi. Salim Abdullah, kwa gharama hiyo ya $9,200 .
Mmmm! Kwa ile issue ya Lissu, hata wewe unafahamu yale yalikuwa ni maelekezo ya JPM.Allegedly, Tibaijuka hawezi msamehe Magufuli sababu za Rugemalira kuwekwa jela.
Anaweza mtungia uongo wowote bila ya ushahidi wa kuthibitisha.
Mwaka huu watatoa siri zoooteSpika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?. Utasemaje hujui alipo?Spika akanieleza kwa utulivu yafuatayo ambayo IN HIS TRIBUTE (kama heshima kwake) ninayaweka wazi.
Labda yatasaidia kumuelewa kwa waliokerwa na kauli zake za mizaha (dry humor). Ndugai aliniambia "Mama ni Maelekezo. MimI nilichofanya kama Spika ni kujaribu kuokoa maisha yake kwa kumkimbiza Nairobi kutibiwa. Wengine walitaka apelekwe Muhimbili. Hatukuwa na bajeti. CHADEMA hawakuwa na fedha kulipia ndege.
Nikamuomba Mbunge wa CCM mhe Turku (RIP) alipie tutamrefund". Akaendelea "Mama Lissu ni mwanasiasa. Akipona atarejea kupambana kadri Mungu atakavyomjalia. Kwa sasa ninakuwa na tahadhari kusurvive katika siasa ngumu za maelekezo huku naongoza muhimili" .
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Sikuwa na la kusema zaidi. Nikajua tuna safari ndefu kama taifa. Jamii haitaki kuangalia misingi ya matatizo yetu kimfumo. Tunabaki kulaumu viongozi (personalities) kana kwamba wana freedom kutekeleza majukumu yao. Mfano Utakuta mbunge analaumiwa kwa kutojenga shule, hospitali, barabara. Kwani hiyo si kazi ya Serikali kuu na Halmashauri wanaotoza kodi?
Tusimlaumu Ndugai kwa mambo yaliyokuwa ya mfumo. Alipokosea Mungu amsamehe lakini kuna mazuri Mengi alifanya. Apumzike kwa amani.
View attachment 3435096
Magu alishawahi kumwambia job wewe pambana nao huko ndani wakija huku nje na mimi nitambana nao.Mmmm! Kwa ile issue ya Lissu, hata wewe unafahamu yale yalikuwa ni maelekezo ya JPM.
Msenge huyu bibi kizee wakihaya,Kwani Ndugai alishindwa Nini kusema haya akiwa hai,Spika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?. Utasemaje hujui alipo?Spika akanieleza kwa utulivu yafuatayo ambayo IN HIS TRIBUTE (kama heshima kwake) ninayaweka wazi.
Labda yatasaidia kumuelewa kwa waliokerwa na kauli zake za mizaha (dry humor). Ndugai aliniambia "Mama ni Maelekezo. MimI nilichofanya kama Spika ni kujaribu kuokoa maisha yake kwa kumkimbiza Nairobi kutibiwa. Wengine walitaka apelekwe Muhimbili. Hatukuwa na bajeti. CHADEMA hawakuwa na fedha kulipia ndege.
Nikamuomba Mbunge wa CCM mhe Turku (RIP) alipie tutamrefund". Akaendelea "Mama Lissu ni mwanasiasa. Akipona atarejea kupambana kadri Mungu atakavyomjalia. Kwa sasa ninakuwa na tahadhari kusurvive katika siasa ngumu za maelekezo huku naongoza muhimili" .
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Sikuwa na la kusema zaidi. Nikajua tuna safari ndefu kama taifa. Jamii haitaki kuangalia misingi ya matatizo yetu kimfumo. Tunabaki kulaumu viongozi (personalities) kana kwamba wana freedom kutekeleza majukumu yao. Mfano Utakuta mbunge analaumiwa kwa kutojenga shule, hospitali, barabara. Kwani hiyo si kazi ya Serikali kuu na Halmashauri wanaotoza kodi?
Tusimlaumu Ndugai kwa mambo yaliyokuwa ya mfumo. Alipokosea Mungu amsamehe lakini kuna mazuri Mengi alifanya. Apumzike kwa amani.
View attachment 3435096
Acha ujinga basi wewe🐖🐖Allegedly, Tibaijuka hawezi msamehe Magufuli sababu za Rugemalira kuwekwa jela.
Anaweza mtungia uongo wowote bila ya ushahidi wa kuthibitisha.
😂ILIPASWA AYASEME HAYA KABLA YA HUYO MWEHU KUFA !
TOFAUTI NA HAPO HUYO NAYE NDO WALEWALE !
Wewe ni nani wa kumpangia Prof.Ingependeza kama Prof angeyasema hayo kwenye msiba wa Shujaa siyo sasa 🐼