Anne Kansiime anavyotengeneza pesa

Anna ni mkorofi kiama, yani akiwa anaigiza anakuwa serious huyo, me nacheka sana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Dah ananifuraishaga sana yule na anapatia kwel akiwa serious yan hatak ujinga hata akiwa anafanya ujinga ye yupo serious
 
91.3 Radio 5 FM wamepatia kumleta hapa town, tukutane Golden Tulip mazeeee!
 
Dah ananifuraishaga sana yule na anapatia kwel akiwa serious yan hatak ujinga hata akiwa anafanya ujinga ye yupo serious

Yupo serious sana, me nahisi ningekuwa nacheka sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Huyo ndio msomi wa kweli sio nyie vijana wa TZ mnawaza kuajiriwa TRA,PSPF,PPF,TANAPA
 
Kansiime ni shidraaaaa....
 
Kwa kweli yuko vizuri sana huwa namkubali, kuna moja alichelewa kwenye interview ni shidaaa...
 
Hahaaa alipopewa nyingine yupo 'at least....!!!'. Aiseee...kansiime is something else

Police will even arrest you for wasting their time dah yule bidada ni shida , anamlalamikia jamaa kampotezea mda kaiba simu kumbe toy, mda wote huo angekuwa ameshaiba sana na kutengeneza pesa dah
 
Police will even arrest you for wasting their time dah yule bidada ni shida , anamlalamikia jamaa kampotezea mda kaiba simu kumbe toy, mda wote huo angekuwa ameshaiba sana na kutengeneza pesa dah

Ndio huyo anamuambia mmewe kamzalisha watoto wa wabayaa au??
 
Kwa kweli yuko vizuri sana huwa namkubali, kuna moja alichelewa kwenye interview ni shidaaa...

hahahaha .............!! akaondoka na laptop ya interviewer, kuna nyingine ni jambaz ameingia kuiba, anamletea jamaa shida kw kuweka kofuli kubwa na wakat ndani hamna kitu.

Grand PA
 
Mtoa uzi umeniwai ilikuwa uwe wangu....but so far so good! she knows!
 
Huyu demu anaweza sana kuna clip moja anarudi home kwa furaha ya ajabu anamsimulia mme wake kuwa amekutana na bwana toka ulaya na anataka kumuoa, she is born talented!

Anatumia sana akili kuliko nguvu kuchekesha
 
Hawa na wenyewe ni shidaa , huyu anduje mweupe uwa ananikosha sana uchekeshaji wake dah , wako vizur mnoo cc Dinazarde
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…