Hatupo hapa duniani ili kufurahisha watu wengine bali Mungu.Unaonekana ukipewa madaraka utazika kizazi chako cha sasa na vijavyo kwa sababu kauli yako hii inaonyesha unaubinafisi wa kupindukia kiasi cha kuwa na husuda dhidi ya uendelevu wa utu.
Nalazimika kukuombea kwa Mungu ili uwaze na kutenda sustainably!!!
wapi marekani au?🙄Umbea. Ujumbe wake wa bodi mbalimbali unaweza kumpatia hizo hela. Na ukimbuke huyo ni
Mfanyakazi wa siku nyingi unaweza alikuwa ana save au kakopa.
Wewe wewe wewe weyewapi marekani au?🙄
Ni kweli. Huyu binti yake Ndugai alimsimulia mwaka huu alipokuwa akifafanua sakata la kumfukuza yule mbunge wa kike aliyeingia na suruali ya kubana makalio.Mama Makinda ana mtoto (Binti wa Kumzaa mmoja ) na pia anakaa na watoto wa dada na wadogo zake.Binti ake Jina lake linaanzia na J
Wanasemaga mtanzania mpe picha tu maelezo atatoa yeyeni maeneo yake alinunua toka 200x.Hiyo Nyumba Chunguza ni plot yake alipaga mtoto wa Ndugu yake alijenga hiyo Nyumba na amefariki so ameichukuwa hiyo nyumba kodi analipia ada watoto wa marehemu.Kuwa makini siku nyingine kabla ujapost kitu.Je unaweza weka copy ya nyaraka za kuuziana hizo sehem hapa??
Umesema mwenyewe ndiyo kamaliza kujenga ukumbi watu wametafuta fursa,yeye pia katafuta fursa biashara ni watu na watu haohao wanaweza kuua biashara yako kwakuto nunua bidhaa zako ama hudumaHamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi anna Makinda amenunua nyumba hapa mbezi makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Weka ya 200xni maeneo yake alinunua toka 200x.Hiyo Nyumba Chunguza ni plot yake alipaga mtoto wa Ndugu yake alijenga hiyo Nyumba na amefariki so ameichukuwa hiyo nyumba kodi analipia ada watoto wa marehemu.Kuwa makini siku nyingine kabla ujapost kitu.Je unaweza weka copy ya nyaraka za kuuziana hizo sehem hapa??
Kama kuna fedha ya dhuruma ya watanzania hao wajukuu wataitapanya tu na kama ni fedha halali mali itadumuHiyo nyumba amewanunulia wajukuu, Anna umri umeshaenda!
Kiswahili jamani!!! Ulitaka kuandika kwani hana hata wakusingiziwa? au siyoKwani ana mtoto hata wakusingiziwa?
Watu wanajenga kwa mkopo, muhimu uwe na colateralHamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi anna Makinda amenunua nyumba hapa mbezi makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Mfanya biashara huyoHamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi anna Makinda amenunua nyumba hapa mbezi makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
HahahaMfanya biashara huyo
Ana mahoteli muda tu
Chapa kazi acha uchawi