peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Hamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi anna Makinda amenunua nyumba hapa mbezi makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Awali ya yote hebu rekebisha au sahihi hilo neno la kwanza! Ni SPEAKER ?? Au SPIKA! kuendana na lugha uliyotumia! Au ndio ulidhani uko ukumbi wa muziki!Hamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi anna Makinda amenunua nyumba hapa mbezi makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Anabana sana matumizi, akitumia sana hela ujue kanunua wigi au kashonea weavingKuhusu hilo la milioni 900 sina ushahidi nalo.....
Ila.....
Mh.mama Anna Makinda ameanza kuwa mtumishi wa umma toka miaka ya nyuma na MSICHOKIJUA ni kuwa mh.Makinda ni MBANA MATUMIZI KWELIKWELI.....na mwekezaji wa KILIMO ,na vibiashara vingi vidogovidogo toka miaka ya 90......kwa hulka na tabia zake hizo sishangai akiweza kununua NYUMBA YA GHARAMA KUBWA KIDOGO..........
My take:
Tupende kuutafuta ukweli kabla ya KUWACHAFUA WAZEE WETU....WAMELITUMIKIA TAIFA HILI KWA UZALENDO MKUBWA....WAACHWE WAPUMZIKE...
#SiempreJMT
#NchiKwanza
SureNi wivu TU...View attachment 1961551
Umasikini wa roho ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania wengi wenye roho za kimasikini!. Wakiona tuu mtu anakitu, lazima waingie wivu na kuanza kuhoji kapata wapi utajiri!. TZS Milioni 900 ni pesa ndogo sana kwa mtu aliyelitumikia taifa kwa uadilifu maisha yake yote, ila hata wewe, kama una dhamana ya kueleweka, na una business plan ya ukweli, unakwenda kukopa bank 1. B na unapata kesho yake tuu, tatizo liko wapi?.Hamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi anna Makinda amenunua nyumba hapa mbezi makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Siyo kweli mkuu, huyo mama kwenye picha za kuchanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar aliwahi kuhojiwa na TBC ni mwalimu mstaafu mwenyeji wa uchagani huko!Angalia picha ya kuchanganya udongo wa muungano nasikia yeye ndo kashika vifaa. Kama alikwisha ingia kwenye connection kipindi hicho mpaka leo ana connection unategemea akose mamilioni? Mi naliona kama mfano wa kuigwa tujifunze kuwekeza badala ya kuendekeza anasa la sivyo tutawapachika watu dhambi wasizokuwa nazo. Na angekuwa kabila fulani uzi ungesema Makinda ana akili ya kutafuta pesa.
Umasikini wa roho ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania wengi wenye roho za kimasikini!. Wakiona tuu mtu anakitu, lazima waingie wivu na kuanza kuhoji kapata wapi utajiri!. TZS Milioni 900 ni pesa ndogo sana kwa mtu aliyelitumikia taifa kwa uadilifu maisha yake yote, ila hata wewe, kama una dhamana ya kueleweka, na una business plan ya ukweli, unakwenda kukopa bank 1. B na unapata kesho yake tuu, tatizo liko wapi?.
Viongozi wengi wa serikali waliokopeshwa nyumba za serikali, wamezitumia nyumba hizo kama dhamana, wameandika michanganuo ya kueleweka, wakakopeshwa na benki mabilioni, na kufanya investments za maana.
Acha wivu, na wewe get rich, or die trying!.
P
Hongera sana mama makindaHamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi anna Makinda amenunua nyumba hapa mbezi makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Sasa nyie kama mtu ashastaafu Uspika na bado mnamchagua kwenye mabodi tena ,kuwa Mwenye kiti au mjumbe wakati vijana wapo, mna tegemea akatae! Kila mtu ashinde mechi zake.Makinda anakaribia miaka 90 kwa umri sasa hayo majumba ya nini?
🤣🤣🤣🤣Anabana sana matumizi, akitumia sana hela ujue kanunua wigi au kashonea weaving
👍Mkuu tupambane nasisi tupate vya kuacha urithi kwa ndugu zetu na wajukuu zetu..
Wao wakiingilia huku na wewe ingilia huku japo upate hata cha kuanzia, kuendelea kuwanyoshea vidole ni kupoteza muda tu..
Hamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi Anna Makinda amenunua nyumba hapa Mbezi Makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Miaka ya 70 mwanzoni.Makinda anakaribia miaka 90 kwa umri sasa hayo majumba ya nini?