Anne Makinda anunua nyumba kwa Tsh. Milioni 900, Dar

Kiinua mgongo Cha Mbunge wa kawaida 250m.kila baada ya miaka 5 je Cha Spika?jumulisha miaka yote alivyokuwa Mbunge.

Mimi tangu nipo s/msingi nilikuwa namsikia huyu mama Mara RC,kweli asiwe na pesa?
πŸ‘
 
hivi kumbe ukiwa mtumishi huruhusiwi kumiliki hela mingi?

πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Chama cha mafisadi
Unapenda sana matusi mkuu....

Mafisadi wanajulikana.....wale wanaopeana ubunge wa viti maalum kwa tiketi ya UDUGU ,USHEMEJI ,NA NGONO......ndio maana yule "dada kisauti" akachomoa betri......
 
Wanavyoipenda ccm hadi kumwaga damu za wanaowapinga we huwa unadhani wanafanya ujinga?
 
Unapenda sana matusi mkuu....

Mafisadi wanajulikana.....wale wanaopeana ubunge wa viti maalum kwa tiketi ya UDUGU ,USHEMEJI ,NA NGONO......ndio maana yule "dada kisauti" akachomoa betri......
Ungekuwa unatumia angalau robo ya akili zako usingegusia habari za wabunge.

Maana ndani ya ccm kuna watu wameingia na familia zao kuanzia watoto,mama na wajukuu.
 
Kumbe hajanunua mama kanunua mwanae kingine kumhamisha mtu makazi yake sio kazi ndogo
 
Ungekuwa unatumia angalau robo ya akili zako usingegusia habari za wabunge.

Maana ndani ya ccm kuna watu wameingia na familia zao kuanzia watoto,mama na wajukuu.
Two wrongs does not make one right....

Sasa credibility ya kuwanyooshea kidole CCM bungeni inatokaje huko "mliko"?!!! Khaaaa 😳😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…