nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
Kamishina wa Sensa, Bi. Anne Makinda amesema kuwa asilimia 93 ya kaya Tanzania tayari zimehesabiwa.
Sasa swali langu la msingi ni hili, yeye kajuaje kaya zilizohesabiwa ndio hiyo asilimia 93?
Je, alikuwa anajua idadi ya kaya zote nchini kabla ya zoezi la sensa kuanza?
Kama alikuwa anajua hiyo idadi yeye na timu yake walikuwa na haja gani kutumia bilioni 629 kuhesabu hizo kaya ambazo kwa mujibu wa maelezo yake tayari alikuwa anafahamu?
Wana great thinkers hebu tusaidiane kuanzia hapo tafadhari.