Kuna tofauti kubwa baina ya Kaya na Makazi ndg.Zoezi la Sensa limeanza kwa kusajili Makazi. Ndiyo maana Mitaani tuliona Namba ziliandikwa katika Malango yetu ya Kaya karibu miezi Miwili kabla ya zoezi lenyewe
Makadirio ya Idadi ya kaya yalikuwa yanajulikana lazima. Pia zimefanyika semina za mafunzo kwa Makarani wakapitishwa kwa Viongozi wa Mitaa na Vitongoji hivyo ni dhahiri asemavyo kuwa zoezi limezifikia kaya kwa asilimia 93% ni Sahihi
Haya yote ni kwa sababu wana Database kwa ajili ya zoezi zima kwa msaada mkubwa wa Teknolojia iliyotumika