nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
Kamishina wa Sensa, Bi. Anne Makinda amesema kuwa asilimia 93 ya kaya Tanzania tayari zimehesabiwa.
Sasa swali langu la msingi ni hili, yeye kajuaje kaya zilizohesabiwa ndio hiyo asilimia 93?
Je alikuwa anajua idadi ya kaya zote nchini kabla ya zoezi la sensa kuanza?
Kama alikuwa anajua hiyo idadi yeye na timu yake walikuwa na haja gani kutumia bilioni 629 kuhesabu hizo kaya ambazo kwa mujibu wa maelezo yake tayari alikuwa anafahamu?
Wana great thinkers hebu tusaidiane kuanzia hapo tafadhari.
kutokea kwenye sensa ya mwisho ya mwaka 2012, kama kutakuwa na taarifa sahihi za waliozaliwa, waliokufa, wahamaji na wahamihaji baada ya sensa ile (namaanisha kuanzia saa 6:01 usiku wa siku ya kwanza ya kuhesabu watu) basi huenda alikuwa na hesabu ya makadirio ya watu wanaotakiwa kufikiwa.Kamishina wa Sensa, Bi. Anne Makinda amesema kuwa asilimia 93 ya kaya Tanzania tayari zimehesabiwa.
Sasa swali langu la msingi ni hili, yeye kajuaje kaya zilizohesabiwa ndio hiyo asilimia 93?
Je, alikuwa anajua idadi ya kaya zote nchini kabla ya zoezi la sensa kuanza?
Kama alikuwa anajua hiyo idadi yeye na timu yake walikuwa na haja gani kutumia bilioni 629 kuhesabu hizo kaya ambazo kwa mujibu wa maelezo yake tayari alikuwa anafahamu?
Wana great thinkers hebu tusaidiane kuanzia hapo tafadhari.
[emoji38][emoji38][emoji38]Kamishina wa Sensa, Bi. Anne Makinda amesema kuwa asilimia 93 ya kaya Tanzania tayari zimehesabiwa.
Sasa swali langu la msingi ni hili, yeye kajuaje kaya zilizohesabiwa ndio hiyo asilimia 93?
Je, alikuwa anajua idadi ya kaya zote nchini kabla ya zoezi la sensa kuanza?
Kama alikuwa anajua hiyo idadi yeye na timu yake walikuwa na haja gani kutumia bilioni 629 kuhesabu hizo kaya ambazo kwa mujibu wa maelezo yake tayari alikuwa anafahamu?
Wana great thinkers hebu tusaidiane kuanzia hapo tafadhari.
Hili ndio jibu lenyewe sasaZoezi la Sensa limeanza kwa kusajili Makazi. Ndiyo maana Mitaani tuliona Namba ziliandikwa katika Malango yetu ya Kaya karibu miezi Miwili kabla ya zoezi lenyewe
Makadirio ya Idadi ya kaya yalikuwa yanajulikana lazima. Pia zimefanyika semina za mafunzo kwa Makarani wakapitishwa kwa Viongozi wa Mitaa na Vitongoji hivyo ni dhahiri asemavyo kuwa zoezi limezifikia kaya kwa asilimia 93% ni Sahihi
Haya yote ni kwa sababu wana Database kwa ajili ya zoezi zima kwa msaada mkubwa wa Teknolojia iliyotumika
Makazi na kaya ni vitu viwili tofauti!Zoezi la Sensa limeanza kwa kusajili Makazi. Ndiyo maana Mitaani tuliona Namba ziliandikwa katika Malango yetu ya Kaya karibu miezi Miwili kabla ya zoezi lenyewe
Makadirio ya Idadi ya kaya yalikuwa yanajulikana lazima. Pia zimefanyika semina za mafunzo kwa Makarani wakapitishwa kwa Viongozi wa Mitaa na Vitongoji hivyo ni dhahiri asemavyo kuwa zoezi limezifikia kaya kwa asilimia 93% ni Sahihi
Haya yote ni kwa sababu wana Database kwa ajili ya zoezi zima kwa msaada mkubwa wa Teknolojia iliyotumika
Kukikuwa na makadirio ya Kaya kulingana na Anwani za makazi, pilot Sensa na GPS.Kamishina wa Sensa, Bi. Anne Makinda amesema kuwa asilimia 93 ya kaya Tanzania tayari zimehesabiwa.