Anne Makinda kusema 93% wamehesabiwa umetambuaje? Ulikuwa na idadi kabla ya sensa?

Kuna tofauti kubwa baina ya Kaya na Makazi ndg.
 
Shida sensa hii imekuja wakati kila mtu ni mjuaji ...
 
Kuna watu walikua wanawatafta tuu kea kivuli cha sensa
 
Hapo kwa siku analipwa si chini ya laki 5 kuongea ongea tu hizo pumba
 
Ndio maana hii nchi tumegeuzwa mazuzu kweli, mimi sielewi kabisa Mama Makinda anapata wapi hizi figure za %,sensa ya kufikia kiwango hicho ni record ya dunia na sijui margin ya error ni %ngapi
Huwezi kujua kwa vile uelewa wako ndipo ulipoishia. Jiachie na uwe tayari kujifunza. Vinginevyo acha kazi iendeleee
 
Kuna mji x mahala mwenye nyumba anaishi na wapangaji 3.... Kahesabiwa yeye na familia yake tu, Hawa wapangaji na familia zao hawakuhesabiwa.....hiyo tuuite asilimis ngapi ?
 
Kuna mji x mahala mwenye nyumba anaishi na wapangaji 3.... Kahesabiwa yeye na familia yake tu, Hawa wapangaji na familia zao hawakuhesabiwa.....hiyo tuuite asilimis ngapi ?
7% waliobaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…