TANZIA Anne Rwigara afariki dunia. Ni dada wa Diane aliyejaribu kugombea Urais dhidi ya Kagame. Mama asema kifo hicho ni fumbo

TANZIA Anne Rwigara afariki dunia. Ni dada wa Diane aliyejaribu kugombea Urais dhidi ya Kagame. Mama asema kifo hicho ni fumbo

 
Siasa za Afrika ukiruhusu kila mmoja akupande kichwani hutoboi, hata MamaDully alianza kwa upole sasa hivi lete shobo sasa utimbiwe na macops.

Ushauri, huwez shindana na serkali kosoa kwa hoja onyesha msimamo wako tulia usitangaze battle hutoboi.
 
Serikali yoyote ikitaka inaweza kukupata popote ulipo, hasa kwa watu kama hawa ambao makazi yao yanafahamika na shughuli zao zinafahamika hata baada ya kukimbia nchi

India ina mahusiano ya mashaka na Canada kwa kutekeleza mambo ya namna hiyo nchini Canada...

Russia imepigana na inapigana vita ya namna hii na mataifa mengi ya magharibi

Ni jambo la kawaida...!
 
Ni Nani huyo dada mkuu?
Ni Anne Rwigara, dada yake na Diane Rwigara.

Diane Rwigara ndiye yule dada aliye mchallenge Kagame uchaguzi wa 2017, na ndipo yeye na familia nzima walipokuwa charged kwa makosa ya uchochezi na ukwepaji Kodi na uhujumu uchumi. Mali zao zilishikiliwa na wao kukaa ndani takribani mwaka mzima, mpaka pale mashirika ya kutetea haki za binadamu yalipopiga kelele sana wakaachiwa na kwenda kuishi Marekani.

Amekufa kifo cha ghafla kwa kuumwa tumbo Ila familia inahusisha hili tukio na hujuma za kisiasa(political assassination).
 
Kagame ni zaidi ya NDULI IDD AMIN Dada
Usimlinganishe Amin na vitu vya kijinga.

Amin hakuwa muuaji wala dikteta. Zile zilikuwa propaganda tu za wapinzani wake akina Obote na Museveni waliopewa hifadhi Tanzania na Mwalimu.

Hawa wapinzani walipewa kila aina ya msaada ili kumpindua Amin na pindi Amin alipokuwa anawashughulikia alikuwa akionekana muuaji.
 
MJOMBA ANA VURUGU PIA ANA ROHO MBAYA NA NI MBAGUZI AFU HATAKI USHAURI NA ANAKUAMBIA ULIPO TUPO WORLDWIDE....HAONI TABU KUKUUA!!!
TO BE HONEST NILIPIGIWA SIMU PERSONAL NA WAPAMBE WAKE NA KUAMBIWA NIACHE KUANDIKA MAKALA KUHUSU USHIRIKI WA RPF KWENYE MAUAJI YA KIMBARI NA KUHUSU FDRL NA INTAREHAMWE NA VITA VYA CONGO NA VIFO VYA UTATA VYA ANKO HABRIYMANA NA KOMREDI WA RPF FRED...!!!
AMBAZO NILIKUA NAWAUZIA HABARI WAANDISHI WENGINE WASIOIJUA RWANDA NA ZAIRE KIUNDANI ILI WAFANYE RESEARCH ZAO KUHUSU MIZOZO YA NCHI ZA MAZIWA MAKUU.
SEMA NITARUDI KUZIMALIZIA NA BAADHI NITASHARE HAPA JF KWENYE MUENDELEZO WA NILIPOISHIA......NGOJA UPEPO UTULIE........
NB: WAANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA TUNAPITIA MENGI.
MARA MBILI NIMEINGIA KINYEMELA RWANDA KUFUATA HABARI NIKAKOSWA KOSWA KUDAKWA NA WALE NDUGU ZANGU WAREFU ILA TUNAELEWANA KILUGHA 🤣🤣....
JAMAA WANAPENDA DAMU ZA WATU BALAAA NA NI WAKATILI HATARI
 
Dikteta Kagame kwa muda mrefu sasa wapinzani wake wakubwa ni watutsi wenzake kama hao.

Luteni Jenerali Faustine Kayumba Nyamwasa, Patrick Karegeya (Rip) nk ni baadhi tu ya watutsi ambao wamekua wakimpinga dikteta huyo wa Rwanda.
 
Back
Top Bottom