makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Ilikiwa pisi..
Wanyarwanda hawanaga kazi mbovu mdogo wangu(in mwaisa's voice)
Wanyarwanda hawanaga kazi mbovu mdogo wangu(in mwaisa's voice)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mzee, ukigoogle tu unaziona chap, ila naona ni dukapicha zileTuma inbox mkuu.
Bora hata cc tunasumbuliwa na kund la mamluki "mamesenari" wanaitwa chama cha kupindua pinduaWanyarwanda ndiyo wajinga zaidi kusumbuliwa na mtu mmoja
Ni kundi la majangili piaBora hata cc tunasumbuliwa na kund la mamluki "mamesenari" wanaitwa chama cha kupindua pindua
Usilinganishe visivyolinganishika. Inaonekana umevimbiwa amani.Ukiwa mtanzania huruhusiwi kuwashangaa wanyarwanda wakati ccm tu inawatoa jasho kwa kofia na tisheti
Ni Anne Rwigara, dada yake na Diane Rwigara.Ni Nani huyo dada mkuu?
Usimlinganishe Amin na vitu vya kijinga.Kagame ni zaidi ya NDULI IDD AMIN Dada
CCM inachaguliwa kihalali we bwege. Uongozi unaombwa kwa wananchi hauletwi mezani yakhe!mbona na sisi watz tunasumbuliwa na kakikundi kadogo sana miaka nenda rudi. Tusiwacheke.
Watanzania huwa mnahisi tz ndipo kuna amani tu. Tembea uoneUsilinganishe visivyolinganishika. Inaonekana umevimbiwa amani.
Lile ni jeshi..ujue ccm peke yake ina uwezo wa kupindua Rwanda bila hata jw kuingilia kati.Ni kundi la majangili pia
Wote familia nzima walitiwa ndani na wakawa charged na makosa sawaNadhani tunamchanganya na Dianne Rwigara .Aliyetiwa kwenye misukosuko na Mama yake alikua ni Dianne baada ya kutaka kugombea Urais mbele ya dikteta Paul Kagame
Kuna ripota alikufa Sydney.....kazi ya private agency waliokodiwa na KAGAME himself....so sishangai kwa hili......mkuuNi kweli amefia Marekani but sio sahihi kuhusisha kifo chake na mambo ya kisiasa kama anavyo taka kushawishi mtoa mada.