Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama yake ingepaswa adinywe kabisa aiseeAu sio ? Angefinywa mama yako ungefurahi ?
Hawana cha kujifunza hapa kwa mambumbumbu. ungefahamu historia ya wakomunisti wa uchina hapa Afrika ndio ungeelewa kwa nini hao wakomunisti wana mahusiano na tu vyama fulani huku kusini mwa jangwa la Sahara.Mkuu soma btween lines bas 😂😂
TumelaaniwaHuwa najiuliza kivipi mtu mmoja anakua na nguvu, wapi madikteta kama Kagame wanapata nguvu zao?
Nikagundua idadi kubwa ya watu huwa wana focus na familia zao, watu wao wa karibu na mahitaji yao ya kila siku kama maji, dawa na chakula
Siasi sio kipaumbele kikubwa cha waafrika wengi, kwa maneno mengine wanyarwanda ndio wanaoruhusu Kagame afanye anachojisikia
Watu wakichafukwa na kuamua, huyo Kagame anaweza fia sehemu ambayo hata panya hatamani afie hapo
Madikteta wanapewa nguvu na watu wasiojali
Kagame kaua familia nzima aseeHoma ya tumbo hadi mauti, inatisha sana
Anaowatuma kuua watu ndiyo wajinga zaidiNi kama anajiona ataishi miaka yote duniani. Kuna watu wana roho mbayaa. Kisa urais tu
Ni kweli amefia Marekani but sio sahihi kuhusisha kifo chake na mambo ya kisiasa kama anavyo taka kushawishi mtoa mada.
Akina nani wanamuacha? Ulitaka wamfanyie nini?Sasa kwanini wanamuacha aendele na kuuwa wanyarwanda.
Yeah you are right the antonym of the word sense is Nonsense.
Wale familia nzima kuanzia mama mpaka mabinti ni wanaharakati.Kuna Anna na dianna nadhani, aliyekufa ni Anna mdg wake na Dianna
Asante mkuu,itakuwa nimechanganya kweliNadhani tunamchanganya na Dianne Rwigara .Aliyetiwa kwenye misukosuko na Mama yake alikua ni Dianne baada ya kutaka kugombea Urais mbele ya dikteta Paul Kagame
Liverpool huwa tuna watu smart we sijui wa wapi.. puuzi kabisaMdada mzuri kama huyu kuwa mwanaharakati ni kujitakia balaa. The same nawaambia kina Maria Sarungi na Acheni mambo ya kujifanya wanaharakati wakati hao mnaowapigania wenyewe hawajui kujipigania.
Huyo dada ameteseka sana yeye na familia yake yeye na mama yake wamekaa ndani muda mrefu lakini pale Rwanda hakuna mwananchi aliyepaza sauti kuwatetea.
Hawa kina Mwabukusi pia nawaasa nchi hii unapoteza muda kujifanya unatetea sijui haki sijui nini wewe pambania familia yako na ndugu zako tena wa karibu. Mambo ya kufanya unatetea haki za wanyonge kwa hizi nchi za kusini mwa jangwa la sahara bado sana utaumia utakufa unaacha familia yako iliyokuwa inakutegemea.
Lissu na Mbowe wameanza kugundua hili, siku hizi wanafanya siasa kwa afya sio kujitesa.
Ile sura yake tu inatisha sana,roho za aliowaua huwa zinamlilia.Kagame amechukua roho za wengi sana, naona ameshazoea kuua, kuanzia Tanzania mpaka SA leo hii amefika USA!.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Yapo yaliyotokea ambayo Amin mwenyewe alikiri hakuhusika nayo. Kwenye mahojiano fulani na BBC nadhani mwaka 2003 aliwahi kuulizwa kuhusu watu kuuawa na kupotea. Alijibu kuwa inawezekana baadhi ya matukio kufanywa na askari pasina idhini ya moja kwa moja kutoka kwake.Mkuu anayajua kweli ya Idd Amin Dadah? Babu yangu Mimi mzaa Mama aliondoka na maaskari wake anaitwa kituoni mwaka 1976 hajawahi kurudi hadi leo. Unamaanisha bado anahojiwa?
I know that..ccm haina cha maana hata cha kutupa sisi wananchi itakua na kipi cha ku offer kwa watu wenye akil kama ccp?Hawana cha kujifunza hapa kwa mambumbumbu. ungefahamu historia ya wakomunisti wa uchina hapa Afrika ndio ungeelewa kwa nini hao wakomunisti wana mahusiano na tu vyama fulani huku kusini mwa jangwa la Sahara.
CCM haina chochote kile cha kuwaoffer hao wakomunisti kwanza CCM ni moja ya wanafunzi wa hao wakomunisti wa China Afrika.
Idol wa jiweIle sura yake tu inatisha sana,roho za aliowaua huwa zinamlilia.Naamini huwa akikaa peke yake pia huwa ana mahangaiko makubwa ya nafsi yake na huenda ndiye mtu anaekiogopa zaidi kifo chake.