Anniversary ya miaka 15 na mke wa mtu

Noana wanaume mnatishana kwa kutunishiana misuli ya nani atamuwahi mwenzie kumpiga bong’oa .....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜œ

Mdundane atayeibuka mshindi anaendeleza anniversary mwaka mwingine ...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Nacheka utadhani mazuri, hii haina tofauti na ule usemi wa...

Muosha huoshwa, kula uliwe.

Niko jikoni napika, mkimaliza kurumbana mje mezani kula.
 
Lau Kama ningekua sijaoa sijui ingekuaje kwa ipande wangu kuhusu ndoa, maana mada za hapa jf Ni dhahiri bila Shari swala la ndoa halitakua lepesi kwa ambae hajaingia huko kuingia.
Mkuu ulichoandika ni dhairi kabisa
 
Hapana chief tumeanza ku date wote tukiwa na miaka mitano kwenye ndoa. Tumeenda mbali sana mpaka ndugu zake na mama ananifahamu. Kuna shughuli tuna hudhuria kama couples.
Ni kwamba mumewe hakubaliki kwao mpaka utambuliwe wewe au ni nini?
 
Chifu unaendeleaje na anniversary?

Vipi home Napo mama ameshare anniversary yake ya kitaa??

Hahahahaaaaaa

Hii dunia aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kudadeki dunia haiko fair aiseee
 
Reactions: BAK
Kwani anavyomla inapungua kiasi kwamba itafika mahali itaisha na mumewe ataikosa?
 
Jiwe hili zito sana
 
Chifu unaendeleaje na anniversary?

Vipi home Napo mama ameshare anniversary yake ya kitaa??

Hahahahaaaaaa

Hii dunia aisee

Hahahaha anniversary imeenda vizuri sana. Tulikuwa kama watu 12 na dada zake.
Najiandaa hapa we are meeting for lunch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…