Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

wewe ndie mgumu kuelewa kamanda hivi hao mawaziri wapo kutekeleza Nini kama sio kazi za serikali kuu ila Kila Mmoja anawajibika na wizara yake lakini wote ni lengo Moja kuwahudumia wananchi!
Sasa wewe mkuu kuwa mbishi ila utajua hujui hiyo siku palapanda 😂😂😂😂
 
Mkuu kwanza ungetupa maana ya roho... Roho ni nini?... kisha utufahamishe roho inawezaje kuumba kitu ama mtu with a vivid example. Nawasilisha
Roho ni umbile la pekee lisiloonekana ambalo lina kuwemo kwenye mwili wa binadamu.

Mpango wa Mungu wa awali ilikuwa kwamba hii roho iwe na mawasiliano na Mungu, ili iitawale akili na hatimaye mwili,kufuatana na mpango wa Mungu.Hata hivyo baada ya mwanadamu kushawishiwa na Shetani kumuasi Mungu,mawasiliano ya Mungu na roho ya mwanadamu yalikaharibika,and instead Shetani naye akaanzisha mawasiliano na akili ya mwanadamu,na hivyo akautawala mwili.Hapa ndipo Shetani alipo win mwili wa mwanadamu.

Hata hivyo Mungu ameleta jambo jipya through Jesus Christ, kwa kuwa hakutaka mwanadamu apotee milele!That is,if you believe in Jesus Christ as your personal saviour, your relationship with God is restored because your soul can now control your mind and and in this way you can be assured of Eternal Life.Will you receive Jesus Christ today and receive Eternal Life and become a Child of God or will you embrace Satan, and be condemned in Eternal Hell for ever?The choice is yours.
 
Historia nzuri lakini nina maswali kadhaa! Kwanza hao annunaki na hao viumbe wengine wao waliumbwa na nani..?
Pili ktk maelezo inaonyesha hao annunaki walikuwa na teknolojia kubwa sana na maarifa makubwa sana,mpaka kuweza kuumba mtu na lengo la kuumba mtu ni ili wawe vijakazi wao wakusanye dhahabu!. Mkanganyiko wangu ni hapa inawezekana vipi wawe na uwezo wa kuunda mtu ila washindwe kuunda dhahabu ambayo ndio waliihitaji zaidi..??
Aah Kenzy!!

Tumia perspective ya sasa Elon Musk, ESA, Nasa and Co wanatengeneza robots kuingia, kutransform na kuisawazisha Mars lakini kwa nini wasitengeneze sayari nyingine tuitakayo?
 
Aisee Mathanzua Unamwamini Huyo El/YHW/Elohim/Jehovah/Jesus halafu unamtenganisha na Accient gods wa Summeria una akili kweli?
Hivi unajua Huyo El ni Moja ya wale Miungu wa ANNUNAK aliowaabudu Abraham kutoka Mesopotamia?
Kabla ya Abraham YHW aliwahi julikana popote ulivyosoma Kwenye Bible?
Hujiulizi kwanini huyo YHW/JEHOVAV/EL
Alijitambulisha kwa mara ya kwanza Kwa Ibrahimu pale Kaanan ya Kwamba Ndio Mungu mkuu muumbaji na akaingia agano nae?
Baada ya hapo kwanini huyo Mungu YHW alianza kudeal na familia Moja tu ya Ibrahim na uzao wake pekee huoni alikua ni Mungu wa ukoo Mmoja tu Hapa Duniani?

Miaka elfu nyingi alideal na familia Moja tu ya Ibrahim baasi mpaka pale walipomsnitch Ndio akajifanya anaanza deal na mataifa mengine huoni huyo Mungu wao ni mbaguzi na jinsi Gani alivyo kigeu geu?
Soma Kwa kuelewa Mathanzua hiki nikuambiacho Leo
Huyo Ibrahimu na mwanaye Isaka aliingia mkataba na Annunak El akiwa kama Merchizedec mtawala
wa Salem ya Kwamba uzao wake Wote na watakua watu special wa kuwakusanyia Dhahabu pale middle east na Ndio maana utapata story za kutembelewa na miungu mara Kwa mara sababu iliyofanya jamaa kukubalika na ANNUNAK ni Kwamba alikua na ujuzi mkubwa Sana wa kuzichimba na Ndio maana alikua tajiri mkubwa Sana na alimiliki nguvu Kazi kubwa Hata kile kisa Cha kumtoa kafara mwanae lengo Ilikua kuonesha uaminifu Kwa El ya Kwamba atafanya Kila kitu Kwa uaminifu na hatavunja makubaliano Kwa kuingia mkataba na Annunak wengine
Na El akampiga mkwara Kwamba Hilo litakua agano lake la milele Kwa uzao wake na atawafundisha watoto zake Juu ya agano Hilo kizazi na kizazi,
Annunak El alijitanabaisha ni Mungu wa Ibrahimu na ana hasira na wivu endapo atavunja makubaliano na atamwangamiza maana ana ujuzi na nguvu kama zote,

Huo Ndio ukawa mwanzo wa Abraham religion Kwa Uzao wake Ili wawe wanaabudu Mungu
El/YHW/JEHOVAH/
Kila siku Ili wasije sahau agano lao na Ndipo kizazi Cha Israelites hawakuacha kumwomba mwamba EL daima wakiogopa Sana kumsahau maana watapata taabu Sana,
Haya mambo yalianzia mbali Sana mpaka Hapa yalipofikia!

Mathanzua najua utanipinga Sana pamoja na wafia dini wengine ila huu Ndio ukweli mnaabudu msichokijua!
Naona hatutaelewana,tusipotezeane muda.Bilieve in what you want to believe,na mimi niamini ninachotaka kuamini.Bwana Yesu atakapo kuja mara ya pili kulichukua Kanisa lake,and His second coming is imminent by the way,Yeye ndiye atakayekuwa mwamuzi.Naomba tuukomboe wakati.
 
Naona hatutaelewana,tusipoteze muda.Bilieve in what you want to believe,na mimi niamini ninachotaka kuamini.Bwana Yesu atakapo kuja mara ya pili kulichukua Kanisa lake,and His second coming is imminent by the way,Yeye ndiye atakayekuwa mwamuzi.Naomba tuukomboe wakati.
ndugu Mathanzua ujue unanifurahisha Sana mkuu hivi kweli unaamini Kuna kiumbe anaitwa Yesu na alizaliwa Bethlehem of Judea na Alikua Masihi na alizaliwa bila baba,mamaye ni Mariam aliyepata mimba Kwa uweza wa roho mtakatifu 😁
Seriously hicho kisa kitokee enzi za utawala wa Warumi na isiwe documented na wakati Warumi ni mabingwa wa kuhifadhi nyaraka,
Hizo habari za Yesu kristo hazijawahi kuandikwa popote katika nyaraka za maktaba ya kumbukumbu ya utawala wa Warumi na ni kitu haiwezekani ila zipo kumbukumbu za mtu Mmoja mpigania uhuru aliyepinga utawala wa warumi aliitwa Yashua Nazarene aliyeishi huko Galilee na huyo alikamatwa na warumi akauawa Kwa kukongomekwa msalabani Kama sheria za warumi zilivyodeal na waliowapinga utawala wao ila Huyo mnaedai Alikua Masihi sijui mwana wa Mungu alikufa na akafufuka na atarudi huyo hayupo na hizo story walioandika bible wale jamaa kina Constantine walizikopi hizo Hadith kutoka Kwa Wamisri wa kale huko
Aliyezaliwa Kwa uweza wa roho mtakatifu ni Horus kutoka Kwa mamaye Osiris aliyekua bikra na akapata ujauzito Kwa uweza wa roho mtakatifu na hizo hekaya zipo long time before Jesus Christ of Nazareth wa mchongo,
Pia hizo Hadith utazipata Kwa wagiriki wakimzungumzia
Zeus ambaye alizaliwa na mama bikra
Pia utazikita India Kwa
Rama nae alizaliwa na mama bikra vile vile na Wote walikua Masihi na siku ya Mwisho watarudi 😁
Mzee Mathanzua Hauna Kwa kuchomokea nenda kasome kuhusu
Jesus Christ
Zeus
Horus
Rama
Vishnu
Utaona story zao zinafanana yaani copy and paste Tena nyingine ni kongwe Sana ya Jesus ni ya Mwisho Hapo juzi juzi tu!
Ndio utajua hujui
😁😁😁😁
 
@mathanzua ujue unanifurahisha Sana mkuu hivi kweli unaamini Kuna kiumbe anaitwa Yesu na alizaliwa Bethlehem of Judea na Alikua Masihi na alizaliwa bila baba,mamaye ni Mariam aliyepata mimba Kwa uweza wa roho mtakatifu 😁
Seriously hicho kisa kitokee enzi za utawala wa Warumi na isiwe documented na wakati Warumi ni mabingwa wa kuhifadhi nyaraka,
Hizo habari za Yesu kristo hazijawahi kuandikwa popote katika nyaraka za maktaba ya kumbukumbu ya utawala wa Warumi na ni kitu haiwezekani ila zipo kumbukumbu za mtu Mmoja mpigania uhuru aliyepinga utawala wa warumi aliitwa Yashua Nazarene aliyeishi huko Galilee na huyo alikamatwa na warumi akauawa Kwa kukongomekwa msalabani Kama sheria za warumi zilivyodeal na waliowapinga utawala wao ila Huyo mnaedai Alikua Masihi sijui mwana wa Mungu alikufa na akafufuka na atarudi huyo hayupo na hizo story walioandika bible wale jamaa kina Constantine walizikopi hizo Hadith kutoka Kwa Wamisri wa kale huko
Aliyezaliwa Kwa uweza wa roho mtakatifu ni Horus kutoka Kwa mamaye Osiris aliyekua bikra na akapata ujauzito Kwa uweza wa roho mtakatifu na hizo hekaya zipo long time before Jesus Christ of Nazareth wa mchongo,
Pia hizo Hadith utazipata Kwa wagiriki wakimzungumzia
Zeus ambaye alizaliwa na mama bikra
Pia utazikita India Kwa
Rama nae alizaliwa na mama bikra vile vile na Wote walikua Masihi na siku ya Mwisho watarudi 😁
Mzee Mathanzua Hauna Kwa kuchomokea nenda kasome kuhusu
Jesus Christ
Zeus
Horus
Rama
Vishnu
Utaona story zao zinafanana yaani copy and paste Tena nyingine ni kongwe Sana ya Jesus ni ya Mwisho Hapo juzi juzi tu!
Ndio utajua hujui
😁😁😁😁
Nimesema tusipotezeane muda.
 
ndugu Mathanzua ujue unanifurahisha Sana mkuu hivi kweli unaamini Kuna kiumbe anaitwa Yesu na alizaliwa Bethlehem of Judea na Alikua Masihi na alizaliwa bila baba,mamaye ni Mariam aliyepata mimba Kwa uweza wa roho mtakatifu [emoji16]
Seriously hicho kisa kitokee enzi za utawala wa Warumi na isiwe documented na wakati Warumi ni mabingwa wa kuhifadhi nyaraka,
Hizo habari za Yesu kristo hazijawahi kuandikwa popote katika nyaraka za maktaba ya kumbukumbu ya utawala wa Warumi na ni kitu haiwezekani ila zipo kumbukumbu za mtu Mmoja mpigania uhuru aliyepinga utawala wa warumi aliitwa Yashua Nazarene aliyeishi huko Galilee na huyo alikamatwa na warumi akauawa Kwa kukongomekwa msalabani Kama sheria za warumi zilivyodeal na waliowapinga utawala wao ila Huyo mnaedai Alikua Masihi sijui mwana wa Mungu alikufa na akafufuka na atarudi huyo hayupo na hizo story walioandika bible wale jamaa kina Constantine walizikopi hizo Hadith kutoka Kwa Wamisri wa kale huko
Aliyezaliwa Kwa uweza wa roho mtakatifu ni Horus kutoka Kwa mamaye Osiris aliyekua bikra na akapata ujauzito Kwa uweza wa roho mtakatifu na hizo hekaya zipo long time before Jesus Christ of Nazareth wa mchongo,
Pia hizo Hadith utazipata Kwa wagiriki wakimzungumzia
Zeus ambaye alizaliwa na mama bikra
Pia utazikita India Kwa
Rama nae alizaliwa na mama bikra vile vile na Wote walikua Masihi na siku ya Mwisho watarudi [emoji16]
Mzee Mathanzua Hauna Kwa kuchomokea nenda kasome kuhusu
Jesus Christ
Zeus
Horus
Rama
Vishnu
Utaona story zao zinafanana yaani copy and paste Tena nyingine ni kongwe Sana ya Jesus ni ya Mwisho Hapo juzi juzi tu!
Ndio utajua hujui
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Umeandika utumbo
 
Lete hoja kupinga utumbo maneno matupu hayafui dafu
Haya nasubiri unijibu Kwa fact
Huyo Yesu hawajamcopy kwenye Accient writings za Mesopotamian na Misri nikushushie zigo la ushahidi hapa?
Chalii yangu nakuelewa kinyama endelea kutupa madini temana na walokole na wakata suruali endelea kututua gizani!

Watu Kama nyie nahisi wachache sana
 
Lete hoja kupinga utumbo maneno matupu hayafui dafu
Haya nasubiri unijibu Kwa fact
Huyo Yesu hawajamcopy kwenye Accient writings za Mesopotamian na Misri nikushushie zigo la ushahidi hapa?
Mm na maswali, what make them stronger ?(anunaki)
what about our spiritual potentials to maximun mental fit??
 
Mm na maswali, what make them stronger ?(anunaki)
what about our spiritual potentials to maximun mental fit??
mkuu nenda kasome kuwahusu hao ANNUNAKI ni deities yaani ni Muunganiko wa miungu wenye more power
Ukiwasoma inadaiwa wao ni the all na master kwenye Universe!
Kwao Ndio ilitoka nadharia ya Mungu mkuu maana Hata yule aliabudiwa na Israelites yaani El/YHW/Elohim/Jehovah nae ni Mmoja wa miungu wanaounda Muunganiko wa ANNUNAK na story za uumbaji walizileta wao!
 
Kwa hiyo kama stori za mungu wamezileta anunnaki unadhani mpaka hao anunnaki wametudanganya kuhusu Mungu ?
 
Halafu; Kama walikuja kuchimba dhahabu, inamaana basi dhahabu kuna alieziumba ( aliefanya ziwe hapo) nae huyo mwenye ukuu kupita wao mpaka wana haja na vitu vyake ni nani? maana tumeambiwa vitu havitoki tu from no where[emoji849][emoji849][emoji849]
Shule ulienda kusomea ujinga bi mkubwa?

Hivi formation ya madini yote si ipo kisayansi zaidi kuliko unavyofikiria Hata kama ulikimbia jogi na physics Ndio useme dhahabu ziliumbwa?
Mada ya formation za miamba ulikimbia wewe 😁😁
Stop dreaming and joking aisee
Hivi waafrika hizi elimu zetu za hapa na pale Ndio zinatufanya tuaamini Kila kitu kilitokea kimiujiza kumbe sometimes ni Phsycs imeaply simple and crear na ushahidi upo!
 
Usibishe mkuu.

Ili process itokee inahitaji vitu na hivyo vitu ndio kina mjadala kwamba vimeumbwa.

Ili mmea ukue unahitaji mambo mbali mbali,hayo mambo mbalimbali ndo tunasema yameumbwa.

Hivyo hata katika dhahabu unaposema physics imeapply lazima kuna materia tu ambazo zimefanya process ndio ikatokea dhababu,na hayo materia ndio yameumbwa sasa.
 
Kwa hiyo kama stori za mungu wamezileta anunnaki unadhani mpaka hao anunnaki wametudanganya kuhusu Mungu ?
mkuu ANNUNAKI wao hawakuelezea habari za Mungu ila Kazi walizokua wanazipiga ziliwatambulisha wao kama miungu mbele za watu maana raia kipindi hicho waliwaona jamaa ni kama Mungu wao Kwa zile Kazi zao,walipomaliza mission na kusepa watu wakaanza waabudu kama Miungu na kuwatengenezea nadharia nyingi na hiyo Ilikua Kwa Kila jamii walipokuwepo unajua nadharia ya kuabudu Mungu Jua kwenye jamii nyingi za kale ni Nini?
Waliamini wale ni miungu kutoka kwenye jua maana waliondoka na spaceships kwenda juu kwenye Sayari Zao,
Jamii kama Aztecs waliwatolea kafara mpaka za watu kule Chichen Itza wakiamini wanawarudisha miungu waje wachukue dhahabu kwenye madhabahu Ili wawaachie baraka nenda kacheki movie ya Mel Gibson ya Apocalypto utaelewa Nini namaaniisha Hata ule ujuzi wa Pyramid wanazotolea kafara ni Kazi za ANNUNAKI na Ndio maana walizigeuza temple za kuabudia miungu!
 
Usibishe mkuu.

Ili process itokee inahitaji vitu na hivyo vitu ndio kina mjadala kwamba vimeumbwa.

Ili mmea ukue unahitaji mambo mbali mbali,hayo mambo mbalimbali ndo tunasema yameumbwa.

Hivyo hata katika dhahabu unaposema physics imeapply lazima kuna materia tu ambazo zimefanya process ndio ikatokea dhababu,na hayo materia ndio yameumbwa sasa.
Hayo Mawe na miamba ilitokea kipindi Cha formation ya galaxy yetu hayajaumbwa na kiumbe yeyote!
 
Back
Top Bottom