SEHEMU YA TISA
DARWIN WAS WRONG
Leo napenda kuzungumzia "evolution" nadharia iliyokuwa proposed na Charles Darwin kuhusu chimbuko la mtu.
Inawezekana kabisa Darwin hakufahamu kile tunachokifahamu leo. Lakini wakati nasema hakuwa sahihi, aliweza kutoa mwanga kwa watu kuhusu imani za kidini na chimbuko la mtu.
Neno evolution nazani halikuwa sahahi, neno ambalo lingekuwa sahihi kutokana na nadharia yake ya natural selection lilitakuwa kuwa "Adaptation theory," kwa nini?, kwa sababu moja kubwa: ili kitu/kiumbe kiweze kutokea (evolve) kinahitaji kuendana na mazingira kwanza (adapt first), na hii inatakiwa kutokea kwenye maisha yake wakati wote ili DNA iweze kuwa re-sequenced.
DNA is passed to it's offsprings, kitu ambacho kinanifanya niamini kwamba hatutakaa tupate rekodi ya hatua za mabadiliko kutoka kwenye mabaki (fossils).
Mfano: Tukichukua wanawake wawili ambao genetically wanafanana kiphysique na wote wawe na uzito sawa 70kg. Kama tukimuweka mmoja kwenye swimming program na mwingine kwenye program ya mbio (marathon), baada ya miaka kadhaa/michache tutagundua ya kwamba watu hawa waliokuwa physically identical wametofautiana.
Yule muogeleaji utakuta amedevelop subcutaneous fat na kupoteza nywele kwenye baadhi ya sehemu zake za mwili na kumfanya awe efficient zaidi kwenye maji, hali hii itamfanya aendane na mazingira(more adept).
Yule marathon runner utakuta emepungua 10-20kg, na kiasi cha mafuta mwilini kama 5% hivi, hivyo naye kumfanya awe efficient zaidi.
Wanawake wote hawa wakizaa, kile walicho reprogrammed kwenye miili yao, kupitia DNA kinaenda hadi kwa watoto (offsprings).
Hii maana yake ni kwamba tunaweza reprogram DNA zetu, na mazingira tunayoishi ndiyo yanayopelekea mabadiliko hayo. Kwa maneno mengine DNA zetu, zinaweza kutazamika sambamba kabisa na njia ambayo computer program can be updated/neglected.
Tumeambiwa kwamba evolution inatokea kwa mechanisms mbali mbali. Moja; Evolution inachukua mamilioni na mamilioni ya miaka, kwa mabadiliko ya taratibu (gradual changes), huku mabadiliko hayo yakiweza kupita kizazi kimoja hadi kingine. Na nyingine ni "punctuated equilibrium," ambayo inasema kwamba baadhi ya species wataonyesha mabadiliko kidogo sana katika geolojia ya historia yao, huku wakibaka katika extended state ijulikanayo kama "Stasis." Kwahiyo siyo Evolution, hapa inaonekana kwamba Darwinists na creotionists wako confused na wote wana fanatical views sawa.
Sir Arthur Conan Doyle aliwahi kusema, " once you eliminate the impossible, whatever remains, no matter how improbable, must be the truth."
Sasa turudi kwenye kile ninachotaka tujadili kuhusu evolution.
Darwinists wanasema kwamba , miaka kadhaa iliyopita, billions of years, maisha yalianzia kwenye "primordial soup"(pool of water), lakini hii siyo sahihi, kwa kifupi tunajua kwamba baada ya solar system kufanyika, prokaryotic bacteria wawili walitokea suddenly duniani wakati huo huo. Inakadiliwa kuwa ni zaidi ya 4 billions years iliyopita, na tunajua hivi kwa sababu bado wanaendelea kuwepo kwa nyakati hizi-they arrived whole & intact.
Hawakutokea duniani, lakini tunaambiwa kwamba, these bacteria slowly evolved into creatures, which then evolve into other creatures & other species, which eventually give rise to humankind.
Turudi kwa Crick na Watson( wagunduzi wa DNA double helix) wanasema kwamba: it would have been impossible to assemble one kind of prokaryotic bacteria, yet alone two different types by chance, and in a very short space of time in the cosmic scheme of things.
Francis Crick yeye alikwenda mbali na kusema,
"You would be more likely to assemble a fully functioning & flying jumbo jet by passing a hurricane through a junk yard than you would be to assemble the DNA molecule by chance in any kind of primeval sea of soup in 5-600 million years. It is just not possible."
Kama nilivyokwisha kusema kwenye sehemu zilizotangulia, geneticists wamegundua kwamba mitochondrial DNA zetu zinaweza kupita kwa mwanamke mmoja hadi kwa mwingine kwa sababu zina baki intact.
Hivyo kuwa traced miaka 250,000 iliyopita to a woman in South Africa. Huu ni sawa na muda ambao sumerians walisema mtu aliweza kuumbwa na Annunaki.
Vile vile wamegundua kwamba nuclear DNA, ambazo tunarithi kutoka kwa Baba na Mama which mixes together kutoka kizazi kimoja kwenda kingine zina umri wa miaka mingi ila siyo kama Darwinists walivyosema kwamba tunaweza kutrace back ancestry wetu miaka 4,000,000 kutoka kwa Australopithecines wa kwanza kabisa.
Darwin mwenyewe kwa maneno yake alisema,
"If we cant find the intermediary species from one to another, then I must be wrong".
Siyo mimi, ni yeye mwenyewe alisema hivyo. Na mpaka leo hatujafanikiwa kupata transitional species yeyote.
Tukija kwenye suala la mtu/binadamu tumeambiwa tulitokana na primates, japo kuwa mtu ni tofauti akiwa na chromosomes 46 ukilinganisha na primate family chromosomes 48.
Kama tulitokana na apes, ingewezekanaje tukapoteza chromosomes 2 according to Darwin's evolution theory?
Vile vile musculoskeletal structures za kwetu ni tofauti kabisa na primates, na hivi karibuni geneticists wamegundua genes za HARI & FoxP2 ambazo zipo kwa mtu tu, primates hawana hizi genes.
How could these two genes suddenly just appear out of nowhere in humans, when there is no trace of any evolution of these two genes seen in any of the primate family?
Kwanini apes wa sasa hawabadiliki kuwa humankind?
Darwin alichofanya ni kuwafungua watu kutoka kwenye imani ya dini na kuwapa mwanga kuhusu chimbuko la mwanadamu. Lakini pia alifungua milango kwa wanasayansi duniani kufanya tafiti zaidi kuhusu chimbuko la mtu.
Mapema kabisa nadharia ya evolution iliandikwa na mfaransa Jean Baptiste Lamarck miaka 50 kabla ya Darwin. Hii ndiyo concept ya kwanza kabisa na valid iliyochapishwa kisayansi. Darwin yeye alikuja kuelezea mechanism ni jinsi gani evolution inatokea kwa kuzingatia alichoandika Lamarck.
Mchango wa Darwin ni nadharia ya "competition & struggle for survival), akimaanisha kwamba evolution ni ongoing struggle for fitness.
Wakati theory of evolution ikitolewa na Lamark, aliye introduce nadharia ya "Natural Selection" alikuwa ni Alfred Russell Wallace aliyemuandikia Darwin ambaye alikuwa anafanyia kazi wazo kama lake, katika manuscript aliyomwandikia, Alfred alimwambia hivi;
"If you think is worthy of publication, would you please submit it for publication to Charles Lyell at the Royal Society?"
Baada ya kupokea ujumbe huo, Darwin alimuuliza unataka nifanyeje?, Alfred akamwambia, "utangazie ulimwengu", hapo ndipo Darwin na Lyell kwa kutumia kazi ya Alfred wakiwa Linnean Society wakawakilisha wazo lao(Darwinism theory) na kuutangazia ulimwengu. Hili nimeliweka wazi kwa sababu kuna msemo mmoja unasema" is the glass half full or is it half empty?"
Maana yake nini, maana yake ni kwamba, the same glass but different perspectives.
Kwahiyo hakuna njia yeyote ile evolution inaweza kuelezea kuumbwa kwa binadamu wa sasa, bali inaweza kuelezea mechanisms na changes zinazoweza kupelekea mabadiliko baada ya kitu/vitu kuumbwa.
View attachment 2110083
Evolution of man.
FRANCIS DA DON
mtu chake
Norshad
obelisk