Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Hata hao annunaki walitokea wapi.. who created them.
 
Kwani Wachawi wanasemaje hawajawahi kutoka hata kwenye sayari yetu..?πŸ˜ƒ
Wachawi kazi yao tunaijua sote, kutembea uchi,kuruka na ungo,ulozi na kudidimiza binadamu wenzao pasina kupata kipande ata Cha gold
 
Hata hao annunaki walitokea wapi.. who created them.
Mimi hapa ndio binadamu wananifurahisha sana, Yani unahoji nani amewaumba Annunaki kwakuwa inasemekana wameumba binadamu, ila Kila mwenye akili sawa sawa ana nature ya kujua kuwa Kila kitu kina mwanzo wake na ndomana mnahoji nani kawaumba Annunaki

ila kitu Cha ajabu ni kwamba sio Annuaki peke Yao ndio inasemekana wameumba wanadamu, Kuna Mungu pia tunajua ameumba Dunia na vyote vilivyomo

Sasa inakuaje watu mnahoji juu ya uumbwaji wa Miungu Annunaki ila hamuhoji juu ya uumbwaji wa Mungu Allah na Mungu wa Nazareth? Mtoa mada akikwambia kwamba Annunaki hawajaumbwa Wala hawajazaliwa utamuamin?

Ukiambiwa kuwa Annunaki hawajaumbwa wala hawajazaliwa sidhani kama utaamini ila cha ajabu unaamini kuwa Kuna Mungu ambae ye hajazaliwa Wala hajaumbwa na ajabu zaidi ni kwamba Yuko peke Yake tu, at least hawa Annunaki wako wengi ina make Sense, ni kipi hasa kinafanya tunakubali tu hili jibu bila kuhoji kama unavohoji kwa Annunaki?

Kwahiyo kama wewe msingi wa swali lako umelenga kuwa Annunaki wameumbwa na Mungu ambae sie tunamjua basi sio mbaya na mkajiuliza pia Mungu alieumba akina Annunaki na wao wakatuumba sisi yeye aliumbwa na nani? Nini chanzo chake?
 
Ni mungu yupi mwenye nguvu na ni bora kuliko wote na na wezaje wasiliana nae in one way or another???
 
Nashukuru umemjibu karibia na vile ningemjibu mwisho wa thread. Kabla mimi sijamjibu mwishoni, naomba kwanza asome hapa between the lines
 
Basi huyu Yehova kawageuka wenzake, coz anataka kuabudiwa yeye tu...!

May be keshawateketeza wenzake....kama alivyomtosa Lucifer...!

Thats why akasema ni Alpha na Omega!
 
Umejibu vema Sana mkuu hii bonge la comment na Kuna baadhi ya members hili jibu litawafaa maana wao walidai Kila kitu tukionacho Ulimwenguni kimeumbwa na Mungu ukiuliza huyo Mungu aliumbwa na nani wanakuambia ni Alfa na Omega Hana mwanzo Wala mwisho,😁
Hapo Hapo ukiwaambia Hata ulimwengu ni Hivyo Hivyo wanakata wanadai kwa jinsi ulivyo ni lazima Kuna mtu aliutengeneza na kuupangilia,
Hapo ukiwaambia basi na wenyewe Hauna mwanzo Wala mwisho na hayajaumbwa
Wana kutolea povu + Quotes za bible na Quran

Wao hawajui swala la Mungu ni contradiction ukisema Yupo aliyeumba ulimwengu na ni nguvu kuu lazima utafute chanzo Cha nguvu zake baadae utakua mchezo wa kujirudia maana chanzo kitataka chanzo,chanzo Cha chanzo kupata chanzo chake baadae inageuka infinity!
 
Basi huyu Yehova kawageuka wenzake, coz anataka kuabudiwa yeye tu...!

May be keshawateketeza wenzake....kama alivyomtosa Lucifer...!

Thats why akasema ni Alpha na Omega!
Inawezekana maana likifika swala la Israelites kuabudu miungu mingine anakua mkali na mwenye wivu atawapatiliza wewe na kizazi chako Hadi Cha Saba
Sasa unajiuliza kwanini kama yeye ni the all aogope watu wake kuabudu miungu mingine Ina maana ipo na Ina nguvu ila ni marufuku kuifuata baada ya kuingia agano nae,Hapo unapata picha halisi ya YWH ni mungu mdogo Sana Tena mwoga mkubwa akiogopa watu kuabudu vinyago walivyojichongea
Laaa! laaa!laaaa!
Huyo ni Mungu wa mchongo!
😁😁😁
 
Tena inawezekana hata miungu inayosemwa kwenye Biblia kwamba tusiabudu miungu mingine katika mfumo wa Sanamu za kuchonga..... Nahisi ilikua geresha....

Lengo ni ile Miungu mikubwa ya Level yake...!
 
unaona sasa [emoji849]..
hili ndo tatizo lenu baadhi ya watu wa Jf
Badala umwelekeze mtu halafu ulete hoja! Unaanza kashfa
Hivi ni haya mambo ya mitandaoni ndo yanakutia jazba hivyo?
 
So uhamin katika maswala ya kiroho au spiritual dimensions?
Sijawahi experience hivyo vitu maana kwangu binafsi sijawahi kutana na kitu Cha mna hiyo Toka nizaliwe,
Sasa siwezi danganya Kwa kitu sijawahi hata Ile kufeel Kwa namna yoyote Ile!
 
unaona sasa [emoji849]..
hili ndo tatizo lenu baadhi ya watu wa Jf
Badala umwelekeze mtu halafu ulete hoja! Unaanza kashfa
Hivi ni haya mambo ya mitandaoni ndo yanakutia jazba hivyo?
ukosoma between the lines hata sikumaanisha ila niliqote tu msemo wa bibi @faizafox 😁
Nisamehe basi ila nilikua naweka msisitizo tu ile kiutani kumbe umekasirika na wewe,
Relax basi hata sijamaanisha Aisee sorry!
,πŸ€“πŸ€“
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…